Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Kwa sababu kuna materialist wanaodai kwamba ideas zinatokana na material reality swala ambalo haiwezekani.

Kwahiyo jibu hili ni la Bennie 369 au la hao uliowaelezea? Kumbuka swala hili la kutokuwepo Mungu kila mtu ana sababu zake
 
Last edited by a moderator:
ok kwani wewe sababu zako ni zipi?

Kwasababu sijawahi kupata sababu ya kuamini uwepo wake. Hakuna sehemu niliyowahi kupata uthibitisho wa uwepo wake.
Kila nikiomba uthibitisho napewa hadithi tu, labda we utanisaidia kuamini
 
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.

Kwanza sio wanasayansi wote wanasema mungu hayupo
Wapo wengi tu wanaamini mungu.
Binadamu alitokana evolution process
Hakuubwa kama unavyofikiria.
 
Kwasababu sijawahi kupata sababu ya kuamini uwepo wake. Hakuna sehemu niliyowahi kupata uthibitisho wa uwepo wake.
Kila nikiomba uthibitisho napewa hadithi tu, labda we utanisaidia kuamini
moja uwezo wako wa kupata sababu ni mdogo pili umejuaje anathibitika ?unaomba uthibitisho je utajuaje huo uthibitisho ni wa ukweli au uwongo ilhali huyo unayetaka uthibitishiwe humjui wala humwamini?
 
Kwanza sio wanasayansi wote wanasema mungu hayupo
Wapo wengi tu wanaamini mungu.
Binadamu alitokana evolution process
Hakuubwa kama unavyofikiria.

na sasa anaevolve kuelekea wapi?au mfumo gani wa kiumbile au fikra
 
moja uwezo wako wa kupata sababu ni mdogo pili umejuaje anathibitika ?unaomba uthibitisho je utajuaje huo uthibitisho ni wa ukweli au uwongo ilhali huyo unayetaka uthibitishiwe humjui wala humwamini?

Wewe mwenye uwezo mkubwa wa kupata sababu ziseme na sio kujaribu kujustify kitu bila hoja. Kama hathibitiki basi HAYUPO.
Sasa we unayemjua mbona umeshindwa kuongea la maana zaidi ya hizo 👆👆👆 longo longo
 
Back
Top Bottom