Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

I cannot physically prove God gave the command kama unavyo hitaji , lakini tuna ushahidi kupitia maandiko (kama Biblia au Quran), historia ya dini, na mabadiliko ya maisha ya watu.

Faith (imani) plays a central role,, huwezi kuthibitisha kila kitu kwa macho, lakini unaweza kuona matokeo ya amri hizo kwa matendo ya watu wanaozifuata.
I did not say physically prove. Sijasema uthibitishe kwa macho.

Thibitisha Mungu alitoa amri.
 
Tulia weweee hakuna kitu unajua unajiongelesha Tu free will free will
kwaio we free will yako ipo upande upi? kwa mungu au shetani? mema na maovu
free will haikai upande wa Mungu wala wa Shetani — ni kama panga, unaweza kulitumia kukata matunda au kuchinja mtu. Hiyo haimaanishi panga lina upande wa mema au maovu, ni wewe mwenyewe unayelishika

Mungu hakukuumba ukiwa mzigo wa reactions tu. Umepewa steering wheel,, sasa kama utaamua kuingia mtaroni, ni wewe tu usilalamike gari ni mbaya.

Chagua upande wako, lakini usiseme hatuna chaguo.
 
Kama huamini, maisha yako yanapata maana wapi?
Unamaanisha nini kuhusu maana ?!!! To each their Own; Kwahio hili swali ndio lina jibu kwako kwahio unataka kusema wasioamini unachoamini maisha yao hayana maana ?

Kama unaamini, unawezaje kuelezea uwepo wa maovu na mateso?
Ukishasema imani mtu hawezi kukosa jibu; sababu ni imani hakuna sababu ya factual kwahio anaweza akasema lolote after the fact kuhalalisha kilichopita (Hindsight is 20 / 20)
Maadili yanatoka wapi? Haki ni nini bila Mungu?
Kwamba Mungu ndio haki ? Yaani bila Mungu watu wasingetenda Haki, na wakati wa Utumwa kwa Africans Mungu alikuwa likizo ?
 
free will haikai upande wa Mungu wala wa Shetani — ni kama panga, unaweza kulitumia kukata matunda au kuchinja mtu. Hiyo haimaanishi panga lina upande wa mema au maovu, ni wewe mwenyewe unayelishika

Mungu hakukuumba ukiwa mzigo wa reactions tu. Umepewa steering wheel,, sasa kama utaamua kuingia mtaroni, ni wewe tu usilalamike gari ni mbaya.

Chagua upande wako, lakini usiseme hatuna chaguo.
Huyo Mungu mwenyewe hujathibitisha yupo.
 
Mungu hakulazimishi umpende, kwa sababu upendo wa kweli huja kwa hiari.
Kama upendo huja kwa hiari, kwa nini mnahangaika kuhubiri upendo wa huyo Mungu?
That’s why He gave humans free will — uwezo wa kuchagua kumpenda au la. Bila hiari
Sasa kwa nini ukichagua kutokumpenda ni dhambi na utapata adhabu?

Huo ni upendo au mtego?
Swali la kwanini Mungu hasaidii watoto wasio kuwa na hatia ni kwamba mara nyingi, Mungu hufanya kazi kupitia watu. Tatizo ni kwamba wengi wetu hatutaki kuwa majibu ya maombi ya wengine. We are the hands and feet that should act—but we ignore the cries.
Kwa nini Mungu anashindwa kufanya kazi yeye kama yeye, hadi atumie watu?

Huyo Mungu anaweza nini sasa kama anahitaji kutumia watu ili kufanya kazi zake?

Inaonekana huyo Mungu hawezi kufanya kazi zake binafsi, hadi anahitaji msaada wa watu.
Swali la Kwanini hakuumba binadamu wasioweza kutenda uovu?
Kwa sababu huo siyo upendo wa kweli wala utu wa kweli. Upendo wa kweli unahitaji uwezekano wa kutokupenda. Otherwise, we are robots, not humans.
Kama upendo wa kweli unatakiwa kuwa na uhuru wa kutokupenda, Mbona huyo Mungu hataki tumpende Shetani?
 
Ukiwa huna ichaguzi kuhusu kuzaliwa au kuzaliwa habari nzima ya freewill inakuwa maigizo tu.

By the way, suala la freewill, kwenye kitu chochote kike, lina contradict uwepo wa Mungu mjuzi wa yote.

Ama watu wana freewill na Mungu mjuzi wa yote hayupo.

Ama Mungu mjuzi wa yote yupo na watu hawana freewill.

Kuwepo kwa freewill kwa watu na hapo hapo kuwapo kwa Mungu mjuzi wa yote is a logical contradiction die to the mutual exclusivity of the two events.
God’s foreknowledge does not cause human actions. Mungu anaweza kujua utafanya nini lakini hiyo haimaanishi kuwa atakulazimisha kufanya. Mfano rahisi, kama mzazi anajua mtoto wake akipewa pipi, atachukua — haimaanishi mzazi ndiye amemlazimisha mtoto kuchagua pipi.

So, uwezo wa Mungu kujua kabla hauondoi uhuru wa kuchagua, bali unaonyesha uwezo wa Mungu kuwa nje ya muda (atemporal), wakati sisi tupo ndani ya muda (temporal). Yeye anaona mwanzo hadi mwisho kama kitu kimoja — lakini bado wewe unachagua ndani ya huo muda.

Kwa hiyo
Mungu mjuzi wa yote anaweza kuwepo na watu wakawa na freewill.
It’s not a contradiction — ni misunderstanding ya nature ya knowledge vs causation.
 
Mfano wako wa mzazi na mtoto una logical fallacy, logical non sequitur.

Kwa sababu mzazi hana ujuzi usio na kosa, anachojua nzazi kinaweza kuwa na kisa.

Nikuulize swali.

Mungu akijua December 1 2025 mimi nitaua, mimi nina uwezo wa kuepuka kuua siku hiyo?
 
I did not say physically prove. Sijasema uthibitishe kwa macho.

Thibitisha Mungu alitoa amri.
Siwezi kuthibitisha kwa sababu It’s a matter of faith, not physical evidence.

Imani haihitaji kuona kwa macho, bali kuelewa na kukubali kwa moyo kupitia maandiko na mafundisho.
 
Aisee, kama huwezi kuona hewa lakini unajua ipo, why so confident God doesn't exist? Ama akili yako ni ya "seeing is believing"???
Kuona hakuthibitishi kitu kipo au hakipo.

Kwa sababu.

Kuna vitu unaona, lakini havipo.

Hivyo hoja ya kuona ni irrelevant.

Kuna vitu huvioni, lakini vipi.

Thibitisha Mungu yupo. Kuona na kutoona ni irrelevant.
 
Siwezi kuthibitisha kwa sababu It’s a matter of faith, not physical evidence.

Imani haihitaji kuona kwa macho, bali kuelewa na kukubali kwa moyo kupitia maandiko na mafundisho.
Faith unaweza kuamini hata uongo.

Sasa unapoamini Mungu yupo unajuaje yupo kweli na imani yako haipo katika kuamini uongo?
 
Mfano wako wa mzazi na mtoto una logical fallacy, logical non sequitur.

Kwa sababu mzazi hana ujuzi usio na kosa, anachojua nzazi kinaweza kuwa na kisa.

Nikuulize swali.

Mungu akijua December 1 2025 mimi nitaua, mimi nina uwezo wa kuepuka kuua siku hiyo?
Knowing the future (Mungu kujua) does not mean causing it or forcing it to happen. Just because God knows December 1, 2025, utaaua, that doesn't mean wewe huna uwezo wa choosing a different action (kuepuka kuua). Knowledge is not causation.

Kwa hiyo, future knowledge by Mungu ni kama recording ya movie ambayo tayari iko, lakini wewe bado una uwezo wa kubadilisha script yako. Huu ni mfano wa logical non sequitur, kwa sababu kujua si sawa na kushawishi au kuamuru tukio lifanyike.

Umeelewa?
 
nakushauri hapa duniani wewe ishi tu yaani lala amka piga mashine lala amka piga mashine hadi u dedi. ukianza kuchunguza ulimwengu utagundua hakuna unachokijua. embu fikiria ili ufike kwenye exoplanet(sayari zilizo nje ya solar system yetu) inabidi uwe na chombo kinachosafiri kwa spidi ya mwanga na itachukua itachukua mamilioni ya miaka ili ufikie hizo sayari alafu law of physics inasema ili chombo kisafiri speed ya mwanga inabidi kiwe na zero Mass(0 kg). ishi tu achana na maswali ya mungu na ulimwengu.
 
Knowing the future (Mungu kujua) does not mean causing it or forcing it to happen. Just because God knows December 1, 2025, utaaua, that doesn't mean wewe huna uwezo wa choosing a different action (kuepuka kuua). Knowledge is not causation.

Kwa hiyo, future knowledge by Mungu ni kama recording ya movie ambayo tayari iko, lakini wewe bado una uwezo wa kubadilisha script yako. Huu ni mfano wa logical non sequitur, kwa sababu kujua si sawa na kushawishi au kuamuru tukio lifanyike.

Umeelewa?
Kwa hiyo Mungu anaweza kujua mimi nitaua December 1 2025, halafu mimi nikaepuka kuua siku hiyo?
 
Kuona hakuthibitishi kitu kipo au hakipo.

Kwa sababu.

Kuna vitu unaona, lakini havipo.

Hivyo hoja ya kuona ni irrelevant.

Kuna vitu huvioni, lakini vipi.

Thibitisha Mungu yupo. Kuona na kutoona ni irrelevant.
ushahidi wa kuona (empirical evidence) ni moja ya njia muhimu ya kuthibitisha uwepo wa kitu.

Ni kweli kuna vitu huwezi kuviona kwa macho, kama hewa au mawazo, lakini uwepo wao unathibitishwa na athari zao au njia nyingine za kisayansi. Kwa mfano, huwezi kuiona hewa, lakini unaweza kupima pressure yake au athari yake unapopumua.

Kuhusu Mungu kusema "thibitisha Mungu yupo" bila kutumia kuona, ni hoja inayohitaji philosophical na metaphysical reasoning, si kukataa tu uhalali wa kuona.

So, seeing may not be the only way to verify truth—but dismissing it completely is intellectually dishonest. Evidence matters, whether through sight, logic, or conse
 
Swali ni hili tu : Ukifuatilia vitu vyote hapa duniani vimetengenezwa kwa mechanism au mfumo ili vifanye kazi , jaribu kuangalia gari au mashine inavyofanya kazi ..Ebu angalia jinsi mashine kama za nafaka ,zinavyosaga kuanzia mazao mpaka unapata unga , mchele na mambo mengi .

Basi binadamu mfumo mzima wa maisha yake unafanya kazi kwa mechanism fulani , hata kunyanyua kidole ni mechanism imefanyika , hata kufumbua macho ni mechanism mwili umefanya mpaka kuwezesha hilo tendo . Kuna wengine mechanism zimefeli ndio maan hawana uwezo wanakuwa kama paralyzed .

swali : je, ni kipi kimeweke hiyo mifumo au mechanism katika utendaji wa mwili wa binadamu na viumbe vingine ? Hpa lazima Mungu ahusike .
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeundwa kwa mechanism, Hata huyo Mungu lazima awe ameundwa kwa mechanism.

Haiwezekani Mungu huyo atokee tu from nowhere.

Haiwezekani Mungu huyo azuke tu, from nowhere.
 
Kwa hiyo Mungu anaweza kujua mimi nitaua December 1 2025, halafu mimi nikaepuka kuua siku hiyo?
Ndiyo na hapana,,, it's a matter of perspective.

Ndiyo, kwa sababu Mungu anajua kila kitu (omniscient), including all possibilities — not just what will happen, but also what could happen. So, He knows kwamba ungeua December 1, 2025, ikiwa ungefanya maamuzi fulani.

Lakini, hapana in the sense that God's knowledge doesn't cause you to act. Wewe bado una uhuru wa kuchagua (free will). So if you choose to avoid killing that day, God already knew you'd choose that. Hakushangazwi,, anajua kila version ya uchaguzi wako kabla hata hujafanya.

Kwa hivyo,, Mungu hajakufungia mstari mmoja tu wa maisha; anajua kila njia unayoweza kuchagua.
 
ushahidi wa kuona (empirical evidence) ni moja ya njia muhimu ya kuthibitisha uwepo wa kitu.

Ni kweli kuna vitu huwezi kuviona kwa macho, kama hewa au mawazo, lakini uwepo wao unathibitishwa na athari zao au njia nyingine za kisayansi. Kwa mfano, huwezi kuiona hewa, lakini unaweza kupima pressure yake au athari yake unapopumua.

Kuhusu Mungu kusema "thibitisha Mungu yupo" bila kutumia kuona, ni hoja inayohitaji philosophical na metaphysical reasoning, si kukataa tu uhalali wa kuona.

So, seeing may not be the only way to verify truth—but dismissing it completely is intellectually dishonest. Evidence matters, whether through sight, logic, or conse

Suala la kuona ni irrelevant katika ushahidi, kwa sababu kuna vitu vinaonekana lakini havipo, kuna vitu havionekani lakini vipo.

Kuna desert mirage zinakuonesha maji jangwani, lakini maji hayo hayapo, ni mwanga tu unaakisiwa kuonesha maji yapo.

Kuna nyota zinaonekana zipo, lakini hazipo, zimeungua jatika supernovae mamilioni ya miaka iliyopita, ila sisi bado tunapata mwanga wake leo.

Kuna watu hatuwaoni, lakini wapo.

Kuona au kutoona si uthibitisho kwamba kitu kipo.
 
Faith unaweza kuamini hata uongo.

Sasa unapoamini Mungu yupo unajuaje yupo kweli na imani yako haipo katika kuamini uongo?
Imani ni uwezo wa kuamini kitu hata bila ushahidi wa moja kwa moja. Unaweza kuamini uongo—hilo ni kweli—lakini tofauti iko kwenye msingi wa hiyo imani.

If your faith is built on personal experience, transformed life, conscience, and deep conviction that aligns with truth and love, then it’s not just blind belief. Mungu haonekani kwa macho, lakini uwepo wake unaweza kuhisiwa kupitia mabadiliko ya moyo, maumbile, dhamira, na nguvu ya upendo.

So, faith in God isn’t just wishful thinking—ni response ya ndani kwa kile ambacho akili peke yake haiwezi kufafanua, lakini roho inaweza kuhisi na kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom