Ndiyo na hapana,,, it's a matter of perspective.
Ndiyo, kwa sababu Mungu anajua kila kitu (omniscient), including all possibilities — not just what will happen, but also what could happen. So, He knows kwamba ungeua December 1, 2025, ikiwa ungefanya maamuzi fulani.
Lakini, hapana in the sense that God's knowledge doesn't cause you to act. Wewe bado una uhuru wa kuchagua (free will). So if you choose to avoid killing that day, God already knew you'd choose that. Hakushangazwi,, anajua kila version ya uchaguzi wako kabla hata hujafanya.
Kwa hivyo,, Mungu hajakufungia mstari mmoja tu wa maisha; anajua kila njia unayoweza kuchagua.