Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Yes, physical death comes lakini si mwisho wa maisha. According to scripture, "Na hii ndiyo ahadi aliyotuahidia, yaani, uzima wa milele" (1 Yohana 2:25).
Unathibitisha vipi "scripture zako" ni ukweli na si hadithi za kusadikika?
Kwa hiyo, kifo si cha milele, ni kiingilio tu kuelekea maisha ya milele, either in the presence of God or away from Him. The real question is not if we live forever, but where.??
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu yeye kama yeye, bila kumhusisha na kitu chochote kile.
 
Kama mtu ameona mwanga wa jua, ataulizwa kwa nini anazungumzia jua? We speak not because God is weak, but because His greatness compels us to.
Why are you speaking on behalf of God?

Why can't he come to speak for himself?

Let God come to speak for himself, if he exists and if he is capable.
 
So unataka Mungu ajithibitishe kama nani? CRB? Au unadhani kwa sababu hujamwona basi hayupo,, wewe hujawahi kuiona akili yako, but here you are, defending it passionately!

Unasikitisha.
Binafsi Si kwamba namkataa Mungu kwa sababu simwoni, ila najiuliza maswali ya msingi kuhusu uwepo wake na natamani majibu ya kina. Mfano wa "akili" ni mzuri, lakini akili tunaiona kupitia matokeo yake—maamuzi, fikra, mantiki. Swali langu linabaki: Je, kuna uthibitisho wa Mungu unaopita tu imani au hisia? Sitafuti CRB wala kejeli, natamani tu mjadala wa kweli wenye hoja, sio matusi au dhihaka. Kama wewe unaamini yupo, eleza kwa nini, na nitakusikiliza kwa heshima.
 
Kama huyo Mungu alitupa freewill ya kuchagua mema au mabaya, Kwa nini hataki na hapendi tuchague kufanya mabaya?

Huyo Mungu akipendwa anafaidika nini?

Kama tuna freewill ya kumchukia, kwa nini huyo Mungu anataka tumtii na tumpende?

Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na uovu wala mabaya?

Kwani ili "love" iwe revealed ni mpaka watu wapitie difficulties?
Mungu alitupa freewill kwa sababu upendo wa kweli hauwezi kulazimishwa.

Mungu hahitaji chochote kutoka kwetu. Upendo wetu kwake si kwa faida yake, bali kwa faida yetu. Kama mzazi anavyopenda mtoto ampende, si kwa sababu mzazi anafaidika, bali kwa sababu hiyo ni hali ya afya ya uhusiano.

Kumtii Mungu ni njia ya maisha bora, yenye amani na kusudi. Hatulazimishwi, lakini akili ya kiroho inaelewa kuwa utii ni kwa manufaa yetu wenyewe. Mungu hataki utii wa masharti, bali utii unaotokana na upendo.

Ili kuumba dunia isiyo na uovu, ingebidi atuondolee freewill, which means no real love, no real choice. Uovu ni matokeo ya misuse ya freewill. Mungu hakushindwa, alichagua kuheshimu uhuru wetu.

Love is most visible during hardship. Kama mtu anakupenda wakati una shida, hiyo ni love ya kweli. Without challenges, love is theoretical.
Magumu hayafunui upendo wa Mungu tu, bali hujenga upendo wetu kwa wengine pia.
 
Why are you speaking on behalf of God?

Why can't he come to speak for himself?

Let God come to speak for himself, if he exists and if he is capable.
God doesn't need to shout to prove He exists,, He speaks through creation, conscience, and history.

Just because He doesn’t speak the way you expect doesn’t mean He’s silent or absent.
 
Mungu hayupo.

Maisha yanapata maana kutokana na sisi wenyewe tunavyojiongoza.

Kwa mfano, kama dunia ina udhalimu mwingi na mtu anayatoa maisha yake kupambana na udhalimu huo, maisha yake yanapata maana sana kwa kazi yake ya kupingana na udhalimu.

Kama kupambana na ubaguzi wa rangi ni jambo lenye maana na kupunguza udhalimu, basi maisha ya mtu kama Nelson Mandela yatakuwa yana maana bila kutegemea uwepo wa Mungu.
Ni kweli kwamba watu wanaweza kuwa maana kwa kuchagua kupigania haki, lakini hoja kwamba "Mungu hayupo" haifanyi hiyo maana kuwa ya kweli au ya kudumu. Without an objective moral foundation-ambayo wengi huamini inatoka kwa Mungu,, concepts like "justice" or "evil" become relative.

kuwepo kwa Mungu hutoa msingi wa kudumu wa maana na maadili. Bila hiyo, hata juhudi nzuri kama za Mandela zinakuwa meaningful kwa mtu binafsi, si kwa kiwango cha juu au cha milele.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Contradictions za the problem of evil/Epicurean paradox zimeshaonesha hilo miaka mingi sana.

Mungu huyo angekuwapo, Mandela asingehitaji kupambana na ubaguzi wa rangi kwa sababu usingeweza kuwapo.
 
Binafsi Si kwamba namkataa Mungu kwa sababu simwoni, ila najiuliza maswali ya msingi kuhusu uwepo wake na natamani majibu ya kina. Mfano wa "akili" ni mzuri, lakini akili tunaiona kupitia matokeo yake—maamuzi, fikra, mantiki. Swali langu linabaki: Je, kuna uthibitisho wa Mungu unaopita tu imani au hisia? Sitafuti CRB wala kejeli, natamani tu mjadala wa kweli wenye hoja, sio matusi au dhihaka. Kama wewe unaamini yupo, eleza kwa nini, na nitakusikiliza kwa heshima.
Kuna hoja zinazojaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu hoja hizi hazitegemei tu imani au hisia.

Hoja moja maarufu ni Cosmological Argument-hii inaeleza kwamba kila kilichoanza kuwepo kina sababu ya kuwepo kwake. Ulimwengu ulianza kuwepo, kwa hiyo lazima kuna chanzo kisicho na mwanzo—ambacho hakitegemei kitu chochote—ambacho wengine ndo huita ni Mungu Mwenyewe.

Hoja zinaweza kukupeleka mlangoni, lakini si lazima zikufungulie mlango. Imani inahitajika baada ya hoja, na si badala yake.
 
Mungu alitupa freewill kwa sababu upendo wa kweli hauwezi kulazimishwa.
Kama upendo wa kweli haulazimishwi, Kwa nini huyo Mungu anataka kupendwa?

Kwa nini mnahangaika kuhubiri upendo wa huyo Mungu?

Huoni kwamba mnalazimisha upendo wa huyo Mungu?
Mungu hahitaji chochote kutoka kwetu. Upendo wetu kwake si kwa faida yake, bali kwa faida yetu. Kama mzazi anavyopenda mtoto ampende, si kwa sababu mzazi anafaidika, bali kwa sababu hiyo ni hali ya afya ya uhusiano.
Kwa hii Dunia iliyojaa uovu na mahangaiko ya kila aina, Upendo wa huyo Mungu una faida gani na umeleta faida gani duniani?

Maelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wanateseka na kufa kila kukicha kwa njaa, vita, magonjwa, umaskini na majanga mbalimbali ya asili, Na huo upendo wa huyo Mungu haujafanya wala kusaidia chochote!!!
FB_IMG_1722976782305.jpg

Huyo Mungu ana upendo gani?
Kumtii Mungu ni njia ya maisha bora, yenye amani na kusudi. Hatulazimishwi, lakini akili ya kiroho inaelewa kuwa utii ni kwa manufaa yetu wenyewe. Mungu hataki utii wa masharti, bali utii unaotokana na upendo.

Ili kuumba dunia isiyo na uovu, ingebidi atuondolee freewill, which means no real love, no real choice. Uovu ni matokeo ya misuse ya freewill. Mungu hakushindwa, alichagua kuheshimu uhuru wetu.
Kwa nini Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa ku misuse freewill?

Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu ambao hawata misuse freewill?
Love is most visible during hardship. Kama mtu anakupenda wakati una shida, hiyo ni love ya kweli. Without challenges, love is theoretical.
Magumu hayafunui upendo wa Mungu tu, bali hujenga upendo wetu kwa wengine pia.
Kama Mungu huyo ana upendo, Alishindwaje kuumba binadamu wema wenye upendo kama yeye?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
Contradictions za the problem of evil/Epicurean paradox zimeshaonesha hilo miaka mingi sana.

Mungu huyo angekuwapo, Mandela asingehitaji kupambana na ubaguzi wa rangi kwa sababu usingeweza kuwapo.
Hoja yako haithibitishi kwa uhakika kwamba Mungu hayupo, inaonesha kwamba mtazamo fulani juu ya Mungu unaweza kuwa na mapungufu.

Mandela alipambana na ubaguzi si kwa sababu Mungu hayupo, bali ni kwa sababu ya uhuru aliopewa mwanadamu (free will) watu wanaweza kuutumia vibaya. Mungu anaweza kuwepo, lakini akaruhusu mateso kwa muda, ili kuleta kusudi la juu zaidi au kukuza maadili kama ujasiri, huruma, na haki.

So, the existence of evil may not disprove God, but it challenges us to rethink what kind of God exists and how He interacts with the world.
 
Kuna hoja zinazojaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu hoja hizi hazitegemei tu imani au hisia.

Hoja moja maarufu ni Cosmological Argument-hii inaeleza kwamba kila kilichoanza kuwepo kina sababu ya kuwepo kwake. Ulimwengu ulianza kuwepo, kwa hiyo lazima kuna chanzo kisicho na mwanzo—ambacho hakitegemei kitu chochote—ambacho wengine ndo huita ni Mungu Mwenyewe.

Hoja zinaweza kukupeleka mlangoni, lakini si lazima zikufungulie mlango. Imani inahitajika baada ya hoja, na si badala yake.
Kwann usema "lazima" kuwe na chanzo
 
God doesn't need to shout to prove He exists,, He speaks through creation, conscience, and history.
Creation, conscience and history are not related with God.
Just because He doesn’t speak the way you expect doesn’t mean He’s silent or absent.
God is a fictional character that's why you are struggling to defend him.

If God exists, let him come to defend himself.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans like you to speak for him, It's a prove that he doesn't exist.

God is a fictional character.
 
Mungu alitupa freewill kwa sababu upendo wa kweli hauwezi kulazimishwa.

Mungu hahitaji chochote kutoka kwetu. Upendo wetu kwake si kwa faida yake, bali kwa faida yetu. Kama mzazi anavyopenda mtoto ampende, si kwa sababu mzazi anafaidika, bali kwa sababu hiyo ni hali ya afya ya uhusiano.

Kumtii Mungu ni njia ya maisha bora, yenye amani na kusudi. Hatulazimishwi, lakini akili ya kiroho inaelewa kuwa utii ni kwa manufaa yetu wenyewe. Mungu hataki utii wa masharti, bali utii unaotokana na upendo.

Ili kuumba dunia isiyo na uovu, ingebidi atuondolee freewill, which means no real love, no real choice. Uovu ni matokeo ya misuse ya freewill. Mungu hakushindwa, alichagua kuheshimu uhuru wetu.

Love is most visible during hardship. Kama mtu anakupenda wakati una shida, hiyo ni love ya kweli. Without challenges, love is theoretical.
Magumu hayafunui upendo wa Mungu tu, bali hujenga upendo wetu kwa wengine pia.
kwanini usipomtii kuna jehanamu
 
Hoja yako haithibitishi kwa uhakika kwamba Mungu hayupo, inaonesha kwamba mtazamo fulani juu ya Mungu unaweza kuwa na mapungufu.

Mandela alipambana na ubaguzi si kwa sababu Mungu hayupo, bali ni kwa sababu ya uhuru aliopewa mwanadamu (free will) watu wanaweza kuutumia vibaya. Mungu anaweza kuwepo, lakini akaruhusu mateso kwa muda, ili kuleta kusudi la juu zaidi au kukuza maadili kama ujasiri, huruma, na haki.

So, the existence of evil may not disprove God, but it challenges us to rethink what kind of God exists and how He interacts with the world.
Freewill is an illussion.

Mandela hakuchagua kuzaliwa.

Hakuchagua kuzaliwa South Africa.

Hakuchagua kuzaliwa South Africa mwaka 1918.

Mandela hakuchagua kuzaliwa mweusi Africa Kusini mwaka 1918.

Haya mambo yote yali impact maisha yake sana.

Hakuwa na freewill kuhusu yote hayo.

Freewill is an illussion.
 
Kama upendo wa kweli haulazimishwi, Kwa nini huyo Mungu anataka kupendwa?

Kwa nini mnahangaika kuhubiri upendo wa huyo Mungu?

Huoni kwamba mnalazimisha upendo wa huyo Mungu?

Kwa hii Dunia iliyojaa uovu na mahangaiko ya kila aina, Upendo wa huyo Mungu una faida gani na umeleta faida gani duniani?

Maelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wanateseka na kufa kila kukicha kwa njaa, vita, magonjwa, umaskini na majanga mbalimbali ya asili, Na huo upendo wa huyo Mungu haujafanya wala kusaidia chochote!!!View attachment 3356678
Huyo Mungu ana upendo gani?

Kwa nini Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa ku misuse freewill?

Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu ambao hawata misuse freewill?

Kama Mungu huyo ana upendo, Alishindwaje kuumba binadamu wema wenye upendo kama yeye?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Mungu hakulazimishi umpende, kwa sababu upendo wa kweli huja kwa hiari. That’s why He gave humans free will — uwezo wa kuchagua kumpenda au la. Bila hiari

Swali la kwanini Mungu hasaidii watoto wasio kuwa na hatia ni kwamba mara nyingi, Mungu hufanya kazi kupitia watu. Tatizo ni kwamba wengi wetu hatutaki kuwa majibu ya maombi ya wengine. We are the hands and feet that should act—but we ignore the cries.

Swali la Kwanini hakuumba binadamu wasioweza kutenda uovu?
Kwa sababu huo siyo upendo wa kweli wala utu wa kweli. Upendo wa kweli unahitaji uwezekano wa kutokupenda. Otherwise, we are robots, not humans.
 
kwanini usipomtii kuna jehanamu
Because God is the Creator and the ultimate Judge. Yeye ndiye aliyetuumba na kutupatia maelekezo ya namna bora ya kuishi. Ukikataa kumtii, you’re not just disobeying rules—you’re rejecting His authority. Hii ndiyo sababu, kwa wale wanaoasi kwa makusudi, kuna adhabu ya haki—Jehanamu.
 
Mungu yupo.
Ndio Manufacturer of life, Mabaya haya ya duniani ni kwa sababu watu wa Dunia wamekataa kufuata manufacturer 's manual.
 
Freewill is an illussion.

Mandela hakuchagua kuzaliwa.

Hakuchagua kuzaliwa South Africa.

Hakuchagua kuzaliwa South Africa mwaka 1918.

Mandela hakuchagua kuzaliwa mweusi Africa Kusini mwaka 1918.

Haya mambo yote yali impact maisha yake sana.

Hakuwa na freewill kuhusu yote hayo.

Freewill is an illussion.
Hoja ya kusema "freewill ni illusion" haikamiliki kwa sababu uhuru wa kuchagua huanza pale unapojitambua na kuchagua jinsi ya kuishi kulingana na hali zako.

Mandela hakuweza kuchagua kuzaliwa mweusi South Africa — lakini alichagua kupigania haki badala ya kunyamaza, alichagua kusamehe badala ya kulipiza kisasi.

Huo ni ushahidi tosha wa Freewill, kuchagua jinsi ya kuitikia mambo usiyoyachagua.
 
Because God is the Creator and the ultimate Judge. Yeye ndiye aliyetuumba na kutupatia maelekezo ya namna bora ya kuishi. Ukikataa kumtii, you’re not just disobeying rules—you’re rejecting His authority. Hii ndiyo sababu, kwa wale wanaoasi kwa makusudi, kuna adhabu ya haki—Jehanamu.
pia unasema katupa uhuru wa kuchagua?
unapatiaje uhuru mtu wakuchagua afu umuhukumu tena wakati ushampa uhuru wakuchagua?
 
Back
Top Bottom