Tatizo lenu hamna amani na utulivu kwa msimamo wenu,hakuna maisha yenye Uhuru kwa asilimia zote. Huko kujiona KAMA mpo huru ndiyo kinachowakosesha a man I.tatizo ww upo usingizini ukiamka tutakuja tuongee.
Uwepo wako wewe ndo kazi yake ..japokuwa unakiri kuwa hayupo.sasa huyo mungu yeye kazi yake ni nini?
Kwani uyo mzungu na mwarabu walijuaje kuwa Mungu yupo? Una uhakika gani kuwa mzungu na mwarabu ndo walinijulisha kuhusu Mungu? Hujui ya kuwa kuna namna nyingi za kumjua na kumfahamu Mungu?!kwahiyo ww bila mzungu au mwarabu kukuambia mungu yupo wewe ungejuaje kwamba mungu yupo?
Mungu wenu ametoka wapi bila kuumbwa?
Ulimwengu pia ulijiumba wenyeweHe is omnipotent and omnipresent. Yaani alijiumba mwenyewe. Iko siku kiburi chako kitakwisha na utamtafuta!
Naanza kukuombea!Ulimwengu pia ulijiumba wenyewe
Hizo sifa tatu ulizoeleza hapo umezitoa kwenye kitabu cha dini na huko ndipo mungu anapojieleza,hivyo kuhoji angetakiwa kuumba hivi na si vile nje ya vile alivyojieleza mwenyewe sidhani kama ni sahihi. Ingetakiwa kwanza tusome vile alivyojieleza na ndipo uanze kujenga hoja,lakini nje ya hapo hoja yako haileti maana. Mfano wewe unasema "hawezi" kuumba ulimwengu huu wenye maovu,je na mie nikisema kutokuweza kuumba ulimwengu kama huu ni kupingana na sifa yake ya uwezo wote utasemaje?Imani potofu sifa yake moja ni hicho unachokiamini kuwa na contradiction. Kinajipinga chenyewe.
Nitatumia maneno ya biblia.Mara nyingine yana make sense.
Mark 3:25 "If a house is divided against itself, that house cannot stand".
If a proposition has a contradiction against itself, that proposition cannot be true.
Kitu hakiwezi kuwapo na kutokuwapo hapo hapo.
Pembetatu haiwezi kuwa duara.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuumba ulimwengu ambao maovu yanaweza kufanyika kama huu wetu.
Ukiamini chochote kati ya hivyo hapo juu kipo, kwamba pembetatu duara ipo au mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu ambao unaruhusu maovu kufanyika, umeamini kitu chenye kujipinga chenyewe kabla mtu yeyote hajakipinga.
Umeamini kitu chenye an inherent contradiction.
Umeamini kitu ambacho hakipo.
Umeamini uongo na mauzauza.
Pembetatu duara haipo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
ww unadhambi? au hauna dhambi?Uwepo wako wewe ndo kazi yake ..japokuwa unakiri kuwa hayupo.
mungu angekewepo wewe ungejua toka unazaliwa sio hivyo saizi ulivyo hisishwa.Kwani uyo mzungu na mwarabu walijuaje kuwa Mungu yupo? Una uhakika gani kuwa mzungu na mwarabu ndo walinijulisha kuhusu Mungu? Hujui ya kuwa kuna namna nyingi za kumjua na kumfahamu Mungu?!
ww unajiona unaamani kwasababu akili zako zote umeshindwa kuzitumia na umezikabidhi makanisani ili wazitumieTatizo lenu hamna amani na utulivu kwa msimamo wenu,hakuna maisha yenye Uhuru kwa asilimia zote. Huko kujiona KAMA mpo huru ndiyo kinachowakosesha a man I.
Naanza kujua kiwango chako cha kufikiriNaanza kukuombea!
hao akili zao wameshikisha misikitini na makanisani.Naanza kujua kiwango chako cha kufikiri
Ndio maana niliona nimjibu kulingana na akili yake. Kama Mungu alijiumba basi na ulimwengu nao ulijiumba.hao akili zao wameshikisha misikitini na makanisani.
yani wanaishi kama maroboti ambao wanaendeshwa kwa limoti ya biblia na kuruani.
umemjibu vizuri sana. na hao sometime wanaishi kama kuku unakuta kunakipindi wanaanza kushindishwa na njaa hata mwezi ukiwauliza kwanini wanakuambia wanamuiga yesu.Ndio maana niliona nimjibu kulingana na akili yake. Kama Mungu alijiumba basi na ulimwengu nao ulijiumba.
Na kama Mungu hana nwanzo wala mwisho, pia ulimwengu hauna nwanzo wala mwisho.
Very sample
Mpaka wengine wanakufa [emoji2] kama yule mchungaji wa south Africaumemjibu vizuri sana. na hao sometime wanaishi kama kuku unakuta kunakipindi wanaanza kushindishwa na njaa hata mwezi ukiwauliza kwanini wanakuambia wanamuiga yesu.
yani hawa jamaa serikali inabidi ijitahidi kuwadhibiti kwa kuwatungia sheriaMpaka wengine wanakufa [emoji2] kama yule mchungaji wa south Africa
Mungu hawezi akaumbwa Kama tukibase kwenye logic kwa kutumia law of noncontradiction hilo haliwezekani.Ndio maana niliona nimjibu kulingana na akili yake. Kama Mungu alijiumba basi na ulimwengu nao ulijiumba.
Na kama Mungu hana nwanzo wala mwisho, pia ulimwengu hauna nwanzo wala mwisho.
Very sample
Nilichokuwa nataka ni kumfanya huyu ndugu afikiri pasipo kuegemea uoga fulaniMungu hawezi akaumbwa Kama tukibase kwenye logic kwa kutumia law of noncontradiction hilo haliwezekani.