Dah natumai wewe unaye argue namna hii si some one educated.Wacha kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Hakuna namna nyingine. Na wewe ukipata cheo, teua mpaka wafanyakazi wako wa ndani. Maana hiyo ndiyo njia rahisi ya kulipa fadhila.
Mmm nimeangalia hii comment nikacheka kimya kimya1.Tupe umri halisi wa Mwalimu
2. Niliwahi kufundishwa na kijana namzidi miaka 13. Ni Mwalimu wangu huyo.
3. Kuna baadhi ya nyazifa zinahitaji utu uzima na uzoefu mkubwa kazini ambao vijana wengi hawana.
Zamani watanzania wengi walisoma secondary wakiwa na wake ama waume na watoto! Hii ni mpaka miaka 90!Kwahiyo wewe umesoma form two ukiwa na miaka 30. Unajibu hoja tafakari kwanza mkuu.
Hatuongeli kufundishwa chuo kikuu .
Afazali, sio kila migulu chemba na siasa zao za kipumbavu za kuua na kuteka wananchiVijana wakipewa nafasi wanaaza kuteka na kutisha watu...
hii awamu ni ya wazee awamu yenu ilishapita, watu washa umwa na nyoka wakiona jani tu wanashtuka.
Mkuu jiache Cheka kwa Raha zako!!!Mmm nimeangalia hii comment nikacheka kimya kimya
mkuu unatania au uko serious? yaani Mama awe ana 61yrs halafu aliemfundisha awe na miaka tufanye 55? labda useme yule mwalimu alikuwa msichana mdogo anawafundisha kinamama Samia na kinababa chini ya mti yaani Memkwa!!Kama hajavuka miaka 60 hakuna shida
Mmshaambiwa ccm ina wenyewe bado hamuelewi tuuVijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu.
Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lkn kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja
Inakera na kuidhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila u hwao. Sitaki kutaja majina lkn kila mmoja wetu afuatilie.
Funga kazi ni uteuzi wa huyu mwalimu wa mhe rais SSH. Kama rais SSH ana miaka 61 vipi umri wa mwalimu wake?? Vijana ni lini tutateuliwa??
Rais ana miaka mingapi? Mwalimu wake je?Kama hajavuka miaka 60 hakuna shida
Ha haa. Mkuu, jipake mafuta ya kenge nyota yako ing'ae. Ukianza kujipaka tu, wiki huchukui jina lako litakuwa kwenye mkeka πππVijana ni lini tutateuliwa??
Afadhali umetoa hili ombi kwa huyu mleta ubuyu. Wengi katuacha hewaniHebu zifungue hizo code kwanza tuchangie kwa mapana yake!
Samia ndiyo ana 61. Sasa mwalimu wake si itakuwa zaidi ya hapo?Kwani Samia ana miaka mingapi Kama mwl ana 61?
Vijana wengi waliopata teuzi wametuangusha sanaVijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu.
Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lkn kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja
Inakera na kuidhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila u hwao. Sitaki kutaja majina lkn kila mmoja wetu afuatilie.
Funga kazi ni uteuzi wa huyu mwalimu wa mhe rais SSH. Kama rais SSH ana miaka 61 vipi umri wa mwalimu wake?? Vijana ni lini tutateuliwa??
Duuh! Basi sawa mkuu. Nilikuwa silifahamu hiliZamani watanzania wengi walisoma secondary wakiwa na wake ama waume na watoto! Hii ni mpaka miaka 90!
Unaongea na Makonda?? Au unaongea na jiwe??Pamoja na uchawa wote unaofanya kumbe hujateuliwa?