Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

Miaka ni namba tu, kuna vijana wadogo na hawana kabisa uwezo waliokuwa na wazee.

Mfano nyinyi hata Fikra zenu zimejaa tope ingawa nahisi bado ni vijana. Mpo so negative kwa ujinga tu.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nilipokua shule ya msingi , wakinamama wa eneo hilo walikua wanakuja saa nane mchana mpaka saa kumi kufundishwa , ikatokea kijana mmoja mtukutu sana akapaka upupu kwenye madawati , wamama wawatu waliwashwa ndio ikawa. Mwisho hawakuja tena.

Hivyo yawezekana hakuna jipya chini ya jua.
 
Miaka ni namba tu, kuna vijana wadogo na hawana kabisa uwezo waliokuwa na wazee.
Sasa ndugu FaizaFoxy huyu mzee wa miaka 90 hata kuongea tu shida atatoa mchango gani? Kama alishindwa asubuhi, mchana na jioni ya umri wake ataweza ikiwa usiku?
Walau angekuwa na umri sawa na wa rais
 
Itakuwa Mwalimu wake ana miaka 79 labda.. 😡 Ila hii vijana kweli watapata shida sana maana wazee teuzi nyingi
 
Sasa ndugu FaizaFoxy huyu mzee wa miaka 90 hata kuongea tu shida atatoa mchango gani? Kama alishindwa asubuhi, mchana na jioni ya umri wake ataweza ikiwa usiku?
Walau angekuwa na umri sawa na wa rais
Unataka kuhukumu kabla hujaujuwa uwezo wake? Huo ndio ujinga usio na mfano.

Wewe una information unamfahamu huyo mama zaidi ya Mama Samia Suluhu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nimeona hata kina A. Makinda wamepewa kwenye Sensa huko aisee?’!

Wazee wanapewa kazi!
 
1. Tupe umri halisi wa Mwalimu
2. Niliwahi kufundishwa na kijana namzidi miaka 13. Ni Mwalimu wangu huyo.
3. Kuna baadhi ya nyazifa zinahitaji utu uzima na uzoefu mkubwa kazini ambao vijana wengi hawana.
Sio kila kitu lazima utetee,
Mambo ya msingi ya kutetea Tanzania yapo mengi!
[emoji3525][emoji3525]
Pumb..fuu
 
Vijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu.

Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lakini kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja

Inakera na kuudhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila uchwao. Sitaki kutaja majina lakini kila mmoja wetu afuatilie.

Funga kazi ni uteuzi wa huyu mwalimu wa mhe Rais SSH. Kama Rais SSH ana miaka 62 vipi umri wa mwalimu wake?? Vijana ni lini tutateuliwa??

Mhe Samia alikuwa form 2 mwaka 1974

View attachment 2233522
Kwa hiyo unataka huyo mama akose pesa ashindwe halafu afe siyo? Ukiwa rais unawapa vyeo wale unaowajua na unaowaamini watakusaidia katika majukumu yako pia utawapa wale ndugu na marafiki... Angalia mifano ya marais wa Marekani kama Kennedy akiwa na waziri wa mambo ya nje. Unashangaa nini, unaona ni sawa wasukuma akiwajaza lakini akiwa mwingine unalalamika, angalia akina Mpina, Kalemani wa nishati aliyeficha CCTV wakati Lissu akipigwa risasi, akina Ndaki, Katambi, na wengine wengi. Angalau rais Samia anachanganya watu kutoka sehemu tofauti tofauti.Nyerere alijaza wazanaki kuanzia mawaziri wakuu, mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa majeshi wote walitokea Mara (Wakurya, wajita etc). Mkapa alijaza rafiki zake na classmates wake. Ningewaweka watu wengi kutoka ninapotoka. Mwacheni rais Samia aongoze nchi bila kumzogoa.
 
Taasis na Mashirika ya umma nchi hii yataendelea kufanya vibaya hadi tutakapotambua nafasi ya Bodi.

Sijakuelewa…
Hiyo Bodi ina nafasi gani?
Yaani Mameneja,Wakurugenzi wote wenye ujuzi wanaenda Kuongozwa na Bodi yenye watu wastaafu na wengi hawana Technical knowledge,Wana Ujuzi tuu wa jumla.
Sijawahi Elewa Maana Ya Bodi Aisee…
 
Muda mwingine tuwe watulivu tu, hivi wewe kijana upewe hiyo nafasi utafanya nini cha muhimu? Kuandika tu bado hatujajua vizuri leo upewe nafasi kama hiyo muda wako ukifika utapata tu hizo nafasi.
 
Kwa hiyo unataka huyo mama akose pesa ashindwe halafu afe siyo? Ukiwa rais unawapa vyeo wale unaowajua na unaowaamini watakusaidia katika majukumu yako pia utawapa wale ndugu na marafiki... Angalia mifano ya marais wa Marekani kama Kennedy akiwa na waziri wa mambo ya nje. Unashangaa nini, unaona ni sawa wasukuma akiwajaza lakini akiwa mwingine unalalamika, angalia akina Mpina, Kalemani wa nishati aliyeficha CCTV wakati Lissu akipigwa risasi, akina Ndaki, Katambi, na wengine wengi. Angalau rais Samia anachanganya watu kutoka sehemu tofauti tofauti.Nyerere alijaza wazanaki kuanzia mawaziri wakuu, mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa majeshi wote walitokea Mara (Wakurya, wajita etc). Mkapa alijaza rafiki zake na classmates wake. Ningewaweka watu wengi kutoka ninapotoka. Mwacheni rais Samia aongoze nchi bila kumzogoa.
Nitajie huyo waziri mkuu mzanaki aliyeteuliwa na nyerere
Lakini pia unaposema Samia aongeze bila kuzongwa huo ni ujinga na upumbavu. Kumbuka anaongoza watu, mwenye malalamiko ni haki yake kusema
 
Nitajie huyo waziri mkuu mzanaki aliyeteuliwa na nyerere
Lakini pia unaposema Samia aongeze bila kuzongwa huo ni ujinga na upumbavu. Kumbuka anaongoza watu, mwenye malalamiko ni haki yake kusema
Bhoke Munanka, Warioba, Joseph Butiku, Joseph Nyerere,Timothy apio nk Upande wa wakuu wa JESHI.....Ernest Kiaro, Musuguri na wale wakurya wote. Wewe ulizaliwa lini? list ni ndefu......Tuachie sisi tuliozaliwa muda kidogo acha kuropoka wewe. Mnamuonea huyo Rais Samia, ninyi wasukuma.....Baraza lililopita mlikuwa na wasukuma 5 mawaziri kamili, manaibu 7, baada ya kuondolewa Kalemani na Chamuriho mmebaki watatu sasa. Ebu muwe fair ninyi, kuna makabila mengine hayakuwa hata na naibu waziri. Umesema ujinga na upumbavu, naona wewe unaangukia kwenye hiyo category, tena nyamaza kabisa.
 
Back
Top Bottom