Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

Sasa kama vijana ni akina Katambi na Sabaya boratu mama ateue ma ajuza.
 
ALIMFUNDISHA SAMIA MATHS NA ENGLISH KIDATO CHA PILI MWAKA 1974.

MIAKA 48 ILIYOPITA.
 
Samia ndiyo ana 61. Sasa mwalimu wake si itakuwa zaidi ya hapo?
Ajira zinaanza miaka 18 ukijumlisha.umri wa mama Samia aliyezaluwa 1960 huyo mwalimu wake minimum atakuwa na Miaka 78
 
Dah natumai wewe unaye argue namna hii si some one educated.

dah wewe unadhihirisha kasoro kubwa kt kutafakari mambo.

Poor u
Wakati mwingine utumie akili hata kidogo tu basi kabla huja ni quote kwenye maandishi yangu. Acha kiherehere.
 
Ajira zinaanza miaka 18 ukijumlisha.umri wa mama Samia aliyezaluwa 1960 huyo mwalimu wake minimum atakuwa na Miaka 78
Anaweza kuwa na umri mkubwa kuliko hiyo 78, maana Samia alikuwa form 2 mwaka 1974
 
Wewe umeiona kazi aliyoteuliwa huyo Mwalimu? Itaje hapa, mbona hujaiweka? Umeielewa au unakurupuka tu?
 
🤣🤣🤣
 
Vijana wakipewa nafasi wanaaza kuteka na kutisha watu...
hii awamu ni ya wazee awamu yenu ilishapita, watu washa umwa na nyoka wakiona jani tu wanashtuka.
Hahhaa na kuchoma mashamba ya watu.
 

Common practice for zanzibaris
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…