Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

Labda Mheshimiwa alisoma QT, hapo ni kitu cha kawaida mwalimu kumzidi umri mwanafunzi.

Mimi nasoma QT baadhi ya walimu nalingana nao umli, hapo badae msije leta chokochoko nikimteua mwalimu wangu wa QT πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…