Kama mwanamke hajakuomba pesa, usijipendekeze kumpa. Kuomba ni sehemu ya kujishusha kwako

Ohh i thought baadhi yenu hampendi kuombwa ombwa, sisi omba omba mtatupiga mawe humu kila siku 😩

Wanawake kuna siku mtaielewa hii kauli; Hakuna mwanamke “bora” kwa mwanaume anayechukia wanawake.

There’s never a better woman to a misogynist man.

Uombe hela, usiombe hela, uwe bikra usiwe bikra, uwe single mother usiwe single mother, uwe na miaka 18 uwe na miaka 35, uwe unajua mapenzi au gogo, uwe educated, uwe ngumbaru, uwe masikini uwe tajiri, you are just a woman (takataka mbele ya misogynists)

Huwezi meet requirements za mtu ambaye goals post yake ina miguu, ina move kila mara…

Kuna baadhi ya wanaume wanapenda/wanahitaji wanawake hao ndio mdeal nao, mtawajuaje? mi sijui 😅 Kwanza na wenyewe wanajificha wanaogopa kuitwa simps, imagine mwanaume kumpenda mwanamke wake anaitwa simp 😅

Kina Robert hawa waacheni wapambane na hali zao
 
Ohh i thought baadhi yenu hampendi kuombwa ombwa, sisi omba omba mtatupiga mawe humu kila siku 😩

Wanawake kuna siku mtaielewa hii kauli; Hakuna mwanamke “bora” kwa mwanaume anayechukia wanawake.

There’s never a better woman to a misogynist man.

Uombe hela, usiombe hela, uwe bikra usiwe bikra, uwe single mother usiwe single mother, uwe na miaka 18 uwe na miaka 35, uwe unajua mapenzi au gogo, uwe educated, uwe ngumbaru, uwe masikini uwe tajiri, you are just a woman (takataka mbele ya misogynists)

Huwezi meet requirements za mtu anayebadili ambaye goals post yake ina miguu, ina move kila mara…

Kuna baadhi ya wanaume wanapenda/wanahitaji wanawake hao ndio mdeal nao, mtawajuaje? mi sijui 😅 Kwanza na wenyewe wanajificha wanaogopa kuitwa simps, imagine mwanaume kumpenda mwanamke wake anaitwa simp 😅

Kina Robert hawa waacheni wapambane na hali zao
Mimi kuomba omba sipendi kabisa , ila wapo wanawake wana akili anaweza kuomba usiwaze kumpa hasa wale wanamaono na pesa , ila wale wa nikuambie kitu ni hatari sana , na kwa mshoga zake hawachelewi kusema kuna boya na mchuna
 
Kuna moja nilikuwa nalipa pesa bila hata kuniomba.Kuna siku nikaliona lipo busy kwenye insta nikaliuliza unachat na nani inbox wakati hauna biashara yoyote nione hiyo inbox,linanijibu ohh simu yangu haikaguliwi nikasema sawa.Juzi linaniomba hela nikalijibu hela zipo insta kaombe huko.
 
Back
Top Bottom