Kama mwanamke hajakuomba pesa, usijipendekeze kumpa. Kuomba ni sehemu ya kujishusha kwako

Kama mwanamke hajakuomba pesa, usijipendekeze kumpa. Kuomba ni sehemu ya kujishusha kwako

Muhimu kucheka afya,coz ilinitesa hii Hali,,,

Binadamu ni kama gari tu inaitaji service,maana siku ikigoma kuwaka imegoma.
Kama hapo kwenye moyo ni hatari sana kwa watumiaji wa pombe , Figo huwa zinasingiziwa tu , mpaka unywe pombe za kuua Figo wewe utakua umezidi sasa
 
Mimi sipendi kuomba hela nataka atoe yeye mwenyewe,
Kwani hajui kama mimi nina mahitaji yangu muhimu hadi asitoe mpaka aombwe hii ni tabia mbaya, If a day comes nikipata mwanaume who gives me money bila kumuomba,never never sitomuacha aende.
Subir mpk uolewe ndo utahudumiwa bila kuomba ila kama ni mahusiano utasubir sana 😆😆
NB:We unampaga?
 
Ewaaaa hii ni kweli. Moja ya dalili ya mwanamke kiburi ni kutokumuomba vitu mumewe
 
"Niliwaambia, kama mwanamke hawezi kujilipia nauli achana naye. Huyo hajakupenda. Wanawake wakipenda hawezi kukosa elfu 20 kuja kukuona Ghetto kwako."


📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Usipendi kujiongeza kwenye ujingaujinga. Mpe hizo hela mama yako au Baba yako kama yupo kama unajihisi unakiherehere. Au kama ni wale wakujipendekeza jipendekeze kwa Mamaako.

Kuna majinga yanatishiwaga na wanawake, oooh! Usipotoa pesa wengine watoe. Waache wengine watoe kwani wanatoa kwenye hela yako? Waache.

Hela yako bado mtu akupelekeshe. Zinakutosha kweli.

Usikubali kutishwa na vitu vya kitoto, vyakijinga. Wewe ni mwanaume sio mdoli.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana, hayanaga miongozo...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom