Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Mimi huwa ni mzito tu kutoa huwasifanyi makusudi ni kujisahau tu kumbe nipo sahihi
ShangaaNdio umedanganywa hivyo
Kiafya soda ni hatari na ina sukari nyingi zaidi ya biaShangaa
Wanaelewa basi mkuu hawajui junk food ndo ina madhara makubwa zaidi. Pombe huwa ina kemikali 1 tu(ethanol)Kiafya soda ni hatari na ina sukari nyingi zaidi ya bia
Pombe inanyweka maelfu ya miaka na watu waliishi maisha marefu , baaada ya hizi taka taka vyakula vya hovyo na vinywaji vya hovyo ndio shida ipo anziaWanaelewa basi mkuu hawajui junk food ndo ina madhara makubwa zaidi. Pombe huwa ina kemikali 1 tu(ethanol)
Kwani wanywaji mnasemaje?Mmmmh
Unataka kaniambia haunywi soda??Pombe inanyweka maelfu ya miaka na watu waliishi maisha marefu , baaada ya hizi taka taka vyakula vya hovyo na vinywaji vya hovyo ndio shida ipo anzia
Situmii soda wala juice kabisa , nakula matunda tuUnataka kaniambia haunywi soda??
Dr alinikataza kunywa soda na vitu vyenye sukari,,aisee kuacha soda nimeshindwa.Situmii soda wala juice kabisa , nakula matunda tu
Naomba hela shindii.Uzi bora kabisa
Hahaha soda moja ya mil 500 ina sukari sawa sawa na bia 10 za mil 500Dr alinikataza kunywa soda na vitu vyenye sukari,,aisee kuacha soda nimeshindwa.
Siwezi peleka pesa sehemu kuna pesa shindii😅😅 nikuchota maji mtoni na kupeleka baharini🤣Naomba hela shindii.
Daah,noma sana,nilipatwa na shida ya moyo. Sikunywa soda miaka mitatu,,,lkn Sasa nakunywa kidogo😎Hahaha soda moja ya mil 500 ina sukari sawa sawa na bia 10 za mil 500
Mhm Pole sana , ni muhimu sana kucheki afya mara kwa mara , pia kuna watu wa gida pombe tu bila kujua afya zao ni hatari snaa, sio kila kinywaji cha mfaa yeyote, tumetofautiana sana uimara wa afya zetu.Daah,noma sana,nilipatwa na shida ya moyo. Sikunywa soda miaka mitatu,,,lkn Sasa nakunywa kidogo😎
Ngoja nikamwambie mashirima unanitukana.Siwezi peleka pesa sehemu kuna pesa shindii😅😅 nikuchota maji mtoni na kupeleka baharini🤣
😅 ni ukweli kabisa, wadada mnazo pesa sanaNgoja nikamwambie mashirima unanitukana.
Weeeh kumbe!! Basi mimi mkaka.😅 ni ukweli kabisa, wadada mnazo pesa sana
Muhimu kucheka afya,coz ilinitesa hii Hali,,,Mhm Pole sana , ni muhimu sana kucheki afya mara kwa mara , pia kuna watu wa gida pombe tu bila kujua afya zao ni hatari snaa sio kila kinywaji cha mfaa yeyote tumetofautiana sana uimara wa afya zetu