Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kuna jamaa alikuwa anatuambia tuoe ila alikuja kugongewa mkewe na ndoa ikafa.Ndoa tamu sana[emoji39][emoji39]
Mkuu, hayo ndiyo makosa mnayofanya wanaume wa siku hizi..Kuna jamaa alikuwa anatuambia tuoe ila alikuja kugongewa mkewe na ndoa ikafa.
Sasa yupo single. Huwa tunamshauri oa, anasema ataoa tu naye yupo single.
Kweli ndoa ni tamu sana
Na wanawake wa sasa wanawaza hela tu. Ndiyo maana wengi hawaolewi au wamezalishwa tu kwa sababu ya ujuaji mwingi na kupenda hela.Wanaume wa siku hizi wana upuuzi mwingi ooh sioi single maza.ooh sioi mwanamke yoyote
Ila ukimcheki sasa.nguo alonayo ni tishert ya simba au yanga.bank hakuna chochote.ajira yenyewe ya mchongo mshahara haufiki next month
Familia inamtegemea ya wazazi na ukoo wote
Yaani wanaume wenye hela zao wanawaza ujinga sasa.
Tafuteni hela msituletee stress zenu
Kwanini uoe halafu uache? Uoe tena kisha uache, unaona ufahari kuachana na mwanamke?Mkuu, hayo ndiyo makosa mnayofanya wanaume wa siku hizi..
Ukigongewa achana naye oa mwingine....
Mwanaume hajaumbiwa kukaa mwenyewe, mtu mzima ukikaa mwenyewe unakaribisha matatizo...
Kama mwanamke anakupanda kichwani, piga chini oa mwingine...
Shida yenu mmefungwa kwenye minyonyoro ya dini, eti mke mmoja "till death do us apart"....
Khee, wewe mwamba bado uko usingizini, amka amka amkaaaa..Kwanini uoe halafu uache? Uoe tena kisha uache, unaona ufahari kuacha na mwanamke?
Ndoa ya mke mmoja ndiyo nzuri. Wake wengi ni tamaa ya ngono tu
Apa wenye matako yakushikika watajitokeza apaZingatia "vya mashiko" (tangible),.
Ushauri hata mbwa akibweka ni ushauri pia..
Billgate ana wanawake wangapi na watoto wangapi?Khee, wewe mwamba bado uko usingizini, amka amka amkaaaa..
Mababu zetu walikuwa wanaoa mpaka wanakufa.... Yani ilikuwa mke akizingua, anaoa tena hata kama ana miaka 90..
Na ndiyo siri ya wazee wa zamani kuishi miaka mingi.... Who told u kwamba uko restricted na mwanamke mmoja maisha yako yote? Hizo dini za wazungu? Kwani hauoni wao wazungu nowdays wanaoana kwa mikataba? Miaka kadhaa wanafunga mkataba wanahamia kwa wenza wengine.
Shida ya sisi waafrika tuko rigid kwenye kuchanganua mambo, yani tunakariri kila kitu tunacholetewa... Mpaka mila zetu tumeziacha sababu ya hao wageni...
ACHA KUISHI KWENYE KIFUNGO CHA WAZUNGU.
Watoto wa siku hizi hamjui kabisa kuandika KISWAHILI.Kwaiyo na wewe umeumiza kichwa apa kuandika hichi?
Naona wazee wa JF waliovurugwa wameshakuharibu mdogo wangu 🤣🤣Wa kwamba tukijenga niandike majina yako na watoto ili nikifa msihangaike? Sio
Wa mitaroni katika ubora wao🥲🥲Mama ako asingeitoa papuchi yake kwa baba ako ungezaliwa?
Umeongea vizuri mnoMwanamke ni Shamba. Shamba linihitaji inputs (pembejeo) ili likupe matokeo (results). Tunatoa pesa kwa sababu ndio kifaa pekee cha kurahisisha upatikaji wa huduma kwa sasa.
Mwanamke kiasili ni mpokeaji
Mwanaume kiasili ni mtoaji.
Kabla ya uwepo wa pesa , mwanaume pia ndio alikuwa na jukumu la kuwinda na kuokota matunda, Kisha mwanaume anapokea[emoji41].
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia VaselineTangu nmeijua nyeto kwa kutumia sumu ya panya sisumbuliwi na wanawake
NmeichokaTumia Vaseline
Nina uhakika ndo swali linaulizwa mara nyingi kwa siku!uko wapi
Muulize ana nini
Tunataka k tu
Ahahahha hapana 😂Naona wazee wa JF waliovurugwa wameshakuharibu mdogo wangu 🤣🤣