BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact.
Back in days Mzee alikuwa akitengewa msosi heavy ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kichwa cha familia kinacho provide huduma zote muhimu pale nyumbani lakini jambo la kushangaza ni sehemu ndogo sana ya kile chakula mzee ndio alikuwa anakula kinachobaki tunapewa sisi mafood monger.
Mindset yangu kwa wakati huo iliamini baba ana upendo wa mshumaa yupo ladhi yeye asile lakini wategemezi wake tule tushibe licha ya kuwa yeye ndio mtafuta ridhiki nadhani hata mama alikuwa inspired na caring ya baba.
Nilipoanza kuwa karibu na baba haswa anapokuwa mbali na nyumbani ndio wakati niliojua kuwa sijui ya kwamba chakula anachokula baba awapo mbali na nyumbani ni heavy ndio maana akiwa home anajifanya sio mlaji kumbe ufood monger wangu nimeutoa kwake.
Mawazo yangu yalibadilika na kumuona mzee kama mbinafsi ila leo hii na mimi nimekuwa Baba nimeona alichokuwa akikifanya mzee ni hekima kubwa na washauri wale wenye familia msiwe mnakula sana majumbani kwenu.
From northern part of Tanzania.