BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #21
Hizo ndio hekima na ukubwa.Binafsi nikiwa kwangu nakula chakula kidogo sana na kuachia wanangu wale kujigalagaza ila nikiwa nje na kwangu nakula kama mchwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndio hekima na ukubwa.Binafsi nikiwa kwangu nakula chakula kidogo sana na kuachia wanangu wale kujigalagaza ila nikiwa nje na kwangu nakula kama mchwa
Northern sAwa southern wanapiga king balaaKatika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact.
Back in days Mzee alikuwa akitengewa msosi heavy ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kichwa cha familia kinacho provide huduma zote muhimu pale nyumbani lakini jambo la kushangaza ni sehemu ndogo sana ya kile chakula mzee ndio alikuwa anakula kinachobaki tunapewa sisi mafood monger. mindset yangu kwa wakati huo iliamini baba ana upendo wa mshumaa yupo ladhi yeye asile lakini wategemezi wake tule tushibe licha ya kuwa yeye ndio mtafuta ridhiki nadhani hata mama alikuwa inspired na caring ya baba.
Nilipoanza kuwa karibu na baba haswa anapokuwa mbali na nyumbani ndio wakati niliojua kuwa sijui ya kwamba chakula anachokula baba awapo mbali na nyumbani ni heavy ndio maana akiwa home anajifanya sio mlaji kumbe ufood monger wangu nimeutoa kwake.
Mawazo yangu yalibadilika na kumuona mzee kama mbinafsi ila leo hii na mimi nimekuwa Baba nimeona alichokuwa akikifanya mzee ni hekima kubwa na washauri wale wenye familia msiwe mnakula sana majumbani kwenu.
From northern part of Tanzania.
😁😁😁 nile mgongo mzima na wakubwa zangu wale nini mkuu??
Hiyo kali sema Bi mkubwa ni mtu wa bajeti mchumi mbobeziBi mkubwa akiona mzee ameniongezea nyama zake lazima aje kunipokonya anazirudisha kwenye sufuria.wa maza hawa!!!
Siku hizi hayo yamepitwa na wakati familia nzima inakula msosi heavy kwahiyo baba huna cha kuwapa watoto maana ulichokula ndicho wamekula muda mwingine wamekula na mengine extra zaidi yako.Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact.
Back in days Mzee alikuwa akitengewa msosi heavy ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kichwa cha familia kinacho provide huduma zote muhimu pale nyumbani lakini jambo la kushangaza ni sehemu ndogo sana ya kile chakula mzee ndio alikuwa anakula kinachobaki tunapewa sisi mafood monger. mindset yangu kwa wakati huo iliamini baba ana upendo wa mshumaa yupo ladhi yeye asile lakini wategemezi wake tule tushibe licha ya kuwa yeye ndio mtafuta ridhiki nadhani hata mama alikuwa inspired na caring ya baba.
Nilipoanza kuwa karibu na baba haswa anapokuwa mbali na nyumbani ndio wakati niliojua kuwa sijui ya kwamba chakula anachokula baba awapo mbali na nyumbani ni heavy ndio maana akiwa home anajifanya sio mlaji kumbe ufood monger wangu nimeutoa kwake.
Mawazo yangu yalibadilika na kumuona mzee kama mbinafsi ila leo hii na mimi nimekuwa Baba nimeona alichokuwa akikifanya mzee ni hekima kubwa na washauri wale wenye familia msiwe mnakula sana majumbani kwenu.
From northern part of Tanzania.
Hiyo ya kuachiwa sio makombo wala familia maskini. Kwa zamani, huo ulikuwa utaratibu tu wa wazee wetu. Baba alikuwa mfanyakazi na alikuwa anajiweza ila ni raha Baba unapoachia chakula kwa watoto hata kama walikuwa na kushiba. Wengi wetu tumekuwa hivyo toka zamani.Unakuta Zee lishatandika kilo nzima ya mbuzi,ndizi 5 na likashushia na konyagi huko lilikotoka.hiyo hamu ya kula home itatoka wapi?
Afu yaelekea humu jf watu wengi mmetoka kwenye familia zenye dhiki ya chakula?how comes mtu ale abakize then ndio akupasishie wewe makombo?kwetu sisi chakula kilikua kingi tu hakukuwa na mtu ana time sijui ya kuvizia mshua abakize msosi.