Kama Mwanaume haupaswi kula chakula kingi nyumbani heshima yako itashuka


Mkono wa kushoto una kazi zake kama hizo ulizotaja pamoja na kutawadha, sio kwa kula…. kuwa left handed is considered 'abnormal' and so watu wa hivyo huvumiliwa.
 
Mkono wa kushoto una kazi zake kama hizo ulizotaja pamoja na kutawadha, sio kwa kula…. kuwa left handed is considered 'abnormal' and so watu wa hivyo huvumiliwa.
Who says sio kwa kula? Au ni mtazamo tu amabo umeenda kua kama ka sheria hivi?
 

aisee tafuta pesa bado unaishi kwenye ujima hayo maisha waliishi wazee wetu sawa kabisa Dunia ya Sasa habari kama hizi bado ni umaskini tuombe mungu atusaidie

Nyumbani chakula kinatakiwa kuwepo mda wote na watoto wajue suala la kula halina mda na wasijue njaa inaumaje wahisi njaa sawa ugonjwa wa tumbo kuuma so vyakula viwepo waseme tu mama tumbo linuama tunataka kula wale si lazima kuku nk chakula tu hata kama ugali tembelea chakula kiwepo mama tumekumbuka hiki na kikipikwa basi kuwepo ziada kimewekwa akihisi njaa ale tu

Watoto wasiwaze baba akij akula atatuachia watoto wajue baba kula ni wajibu wake kwaiyo ushibe usishibe wao waone kawaida tu sababu wao wamekula wameacha so tutaafute pesa mawazo uliyotoa ni ya kimaskini

Nyumba zetu zinatakiwa ziwe na mda wa kuivisha chakula siyo mda wa kula mda wa kula uwe mda wowote chakula kiwepo kwenye masufuria nikisema mezani takuwa nimeenda mbali sana
 
Watoto wa mnafiki ni wanafiki pia!! kula na wanao wakujue na uwajue! vyema!! unadumisha upendo, na imani. mshikamano, nunua chakula kingi mno!! leta mezani hapo!! siku Mama hayupo pika nao msosi mle wooote hapo!

kwa uanfiki huo Watakujua tu baba anagonga misosi mizuri tuuu!! sie anatupa marapu rapu!

Ugali haujatosha, Mwambie Mama watoto wangu hawaja shiba! mrudishe mama jikoni!! ongeza madiko diko maziwa mgando!! matunda namana hiyo!!...tatizo la baba yako alikuwa anaogopa kurogwa aache nyumba!

Jamani wana JF msikubali huyu jamaa na babake ni waongo, wanafiki wakubwa, iko siku watakubamba unavo gonga kiti moto Bar na Malaya!...za mwizi ni arobaini!
 
Kingine baba ni mtu Wa kuchelewa kwa hiyo anatengewa chakula kwenye hot pot yake na hakuna Wa kuigusa
ndo maana mnarogwa muache nyumba .mali nk sababu ya ubinafsi wa kijinga! tena mke akikujua uko hivo basi kwake ni mteremko tuuu!! huyo si ndg yako atakuua tu. nasema mnastahili kurogwa!

hata km hajui kuroga ataumwa sikio na wenzake! endelea lkn zako zina hesabika wewe eyce mtoto wako mkubwa akifika form six hatutakuona humu!
 
ni kweli kabisa,mwanzoni mwa ndoa yangu nilkua nagonga menu kama mcheza mieleka nikaja gundua,wakati nakula watoto wangu walikuwa wanakinyezana na kucheka kimtindo,sija kaa sawa nikagundua wamenipachika jina wananiita CRUSHER {yaani mashine ya kusagia mawe},du!!! niliona noma sana,ikabidi nifanye ki2,nikitoka kazini napitia kona,napiga kongoro moja ili kupunguza njaa ndo naenda kwa home,kwa sasa wale machalii wameacha kunitumbulia macho wakati nakula!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…