Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

Ndio wale kwenye text wanaandika "xx, mmb, xul, p,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni watamu balaa. Halafu hawana alama za weusi katikati ya mapaja
 
Una umri gani?
 
Ili iweje? Na, huyomwanaume wa umri gani? Watu tupo bize kutafuta shekel, we unawaza kusalimiwa na madem!
Mimi nipo site South naagiza magari ya taasisi huko bongo, wife, ni engineer Ewura,sasa hayo masalamu ya nini!
Hivi hata vijana wa china, UK, na wao wanawaza huu upuuzi wa mtu mweusi!
 
Tafuta kazi za kufanya,kama unawashobokea ni lazima hizo mambo uzipate
Mamb ndo nini kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…