Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waje tuu mzabzab sina baya na mtu😂😂😂😂
Wenye stress zao watakuja kukushambulia
And part of living life to the fullest is to mix and mingle with them beautiful ladiesssThat's great mkuu. You have to live your life to the fullest
Katongozwa na madada poa 4 baada tu ya kupaka mafuta ya upako kwenye dhakarHahah.......nini kimetokea? Kale kasauti ka Mwamposa.
HahahaKatongozwa na madada poa 4 baada tu ya kupaka mafuta ya upako kwenye dhakar
Azuma imeshasanda, imenyoosha mikono juu...Ukiona text mamb Kimbia na utoe hiyo laini yako ya simu maana ni UTI kali sana imekutafuta!
😂😂😂😂Hahaha
Una umri gani?Mkuu mbona umekazania suala la umri? Umri unahusika nini hapo?
Anyways Mimi sina presha wala kisukari kama wewe mkuu. Damu yangu bado inachemka. Siri kuku wa kizungu wala sinywi soda. Plus ninafanya mazoezi kila siku. So akili yangu bado ipo fresh. Wewe endelea kuwaza mambo ya katiba ya Warioba na vita vya Ukraine kwa sababu unadhani ndio huo. Mimi wacha niendelee kufanya kile kilichofanya wanaume tuletwe duniani
Mkuu unadhani kuwa na mawazo mengi ndio utu uzima eeh? Pole sana mkuu
Ujumbe WAKO ulikuwa ni huu , post Ina fanana na mfano wa content creation post , so haina aja ya kuendelea...Mwaka wa kazaliwa una husiana nini na mada yangu?
Ili iweje? Na, huyomwanaume wa umri gani? Watu tupo bize kutafuta shekel, we unawaza kusalimiwa na madem!Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.