Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

Mkuu mbona umekazania suala la umri? Umri unahusika nini hapo?
Anyways Mimi sina presha wala kisukari kama wewe mkuu. Damu yangu bado inachemka. Siri kuku wa kizungu wala sinywi soda. Plus ninafanya mazoezi kila siku. So akili yangu bado ipo fresh. Wewe endelea kuwaza mambo ya katiba ya Warioba na vita vya Ukraine kwa sababu unadhani ndio huo. Mimi wacha niendelee kufanya kile kilichofanya wanaume tuletwe duniani
Una umri gani?
 
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.

Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.

Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Ili iweje? Na, huyomwanaume wa umri gani? Watu tupo bize kutafuta shekel, we unawaza kusalimiwa na madem!
Mimi nipo site South naagiza magari ya taasisi huko bongo, wife, ni engineer Ewura,sasa hayo masalamu ya nini!
Hivi hata vijana wa china, UK, na wao wanawaza huu upuuzi wa mtu mweusi!
 
Tafuta kazi za kufanya,kama unawashobokea ni lazima hizo mambo uzipate
Mamb ndo nini kwanza?
 
Back
Top Bottom