Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
akatoe ushuhuda si kwa muujiza huuππππππMtume Kuna muujiza huku.
Baada ya kusema pokea mambo kuna kijana wa hovyo kapokea mambo 4 kwa mpigo πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akatoe ushuhuda si kwa muujiza huuππππππMtume Kuna muujiza huku.
Baada ya kusema pokea mambo kuna kijana wa hovyo kapokea mambo 4 kwa mpigo πππ
Yeye anazungumzia wamama walio zaliwa mwaka 1993 kushuka chini. Mimi nazungumzia mabinti vigoli wa mwaka 2006-2004.Hakika Mkuu; Na vile anaongelea watoto wakike; nadhani wanawake unaowasema wewe sio wa level yake.
Sijui hataUna tatizo
Inatokea tu, kawaida na nimezoea kabisaAnyways . Umewazaje mkuu? How? Kuna watu mna shida kwenye hii dunia
Una umri gani?Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Shida naweza nikateleza nikaangukia kisogoNenda kakanyage mafuta kwa mwamposa
Mamb mynπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ukiona text mamb Kimbia na utoe hiyo laini yako ya simu maana ni UTI kali sana imekutafuta!
Hii ina maana gani mkuu//Ad Code here
sijui ni kwanini,huenda wanafanya maboresho....π€·ββοΈπ€·ββοΈMe wamenikera walivoondoa sehemu ya kuona watu wanaotype