Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo weweNjoo PM kuna zawadi yako.
Ndio wale kwenye text wanaandika "xx, mmb, xul, p,Hao watoto wakike wanaoandika "mamb" ni wa uswahilini wasio na elimu wala mishe yoyote. Mwanamke mwenye kipato na elimu yake anaandika sms inayoeleweka.
Sitembei na wanafunzi mkuu nipo smart. Nikitembea na wanafunzi basi ni wa vyuo vya kati kama vile Veta etc na kuendelea hadi chuo. Wanafunzi wa sekondari hapana. Shaka ondoa mkuu. Mimi si mgeni wa mambo hayo. SOSPA naijua vizuri sana mkuu.Hiyo ni sawa na kusema mwanaume aliyekamilika ni lazima atembee na vitoto vya shule kama vinne hizi.
Maana wanaopenda kuandika ''mamb'', mara nyingi ni watoto wa shule.
Acha kujisifia upumbavu utakuja kufungwa ndugu.
Hahah.......nini kimetokea? Kale kasauti ka Mwamposa.Mtume Kuna muujiza huku.
Baada ya kusema pokea mambo kuna kijana wa hovyo kapokea mambo 4 kwa mpigo 😂😂😂
Mkuu mbona umekazania suala la umri? Umri unahusika nini hapo?Una umri gani?
Wapi nimekwambia nasubiria meseji ya " mamb" ? Meseji zinakuja zenyewe. Tena kuna moja imeingia halo kutoka kwa Caren ngoja niifungue niisomeHivi anaeanzisha uzi kama huu Ana miaka mingapi.? Yaani mimi kwa umri wangu huu, eti nisubirie SMs ya mambo... Ila sio kosa lako hata mm nilipita huko huko,
Wewe ndo unapaswa kupelekwa milembe. Kama ishu ndogo kama hii niliyopost inakufukirisha hivyo basi something is missing in your head. Una stress . Mi sina stress kama wewe mkuu. Stress ni shambulio kwenye akiliNDUGU wa Mleta mada tumeni namba ya simu ili tufanikishe safari ya mgonjwa wetu kwa michango maana Dodoma mbali na kama zitahitajika kamba natoa ahadi ya kagharamia haya wana jf tujiandae kwa michango Milembe moja hiyo.
Wewe ndio uende mirembe mkuu kwa sababu una stress na maisha ndio maana umeshangazwa na mada yangu. Wewe huwezi kuwaza kama mimi kwa sababu una stress. Mimi sina stress mkuu.Wahi Mirembe wewe,naona umejipa kazi ya kuwalisha watu maneno yako.
Unadhani kuwa na mawazo mengi ndio uanaume eeh? You love to stress yourself eeh?Kuna utofauti kati ya mwanamme na mvulana wewe bado ni mvulana kwanza mwanamme unaanzaje kutumiwa sms ya mamb? Mwanamme anapokea sms ya shikamoo..... Nadaiwa ada. Bili ya maji imekuja, luku imeisha n.k