Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

Hiyo ni sawa na kusema mwanaume aliyekamilika ni lazima atembee na vitoto vya shule kama vinne hizi.

Maana wanaopenda kuandika ''mamb'', mara nyingi ni watoto wa shule.

Acha kujisifia upumbavu utakuja kufungwa ndugu.
Sitembei na wanafunzi mkuu nipo smart. Nikitembea na wanafunzi basi ni wa vyuo vya kati kama vile Veta etc na kuendelea hadi chuo. Wanafunzi wa sekondari hapana. Shaka ondoa mkuu. Mimi si mgeni wa mambo hayo. SOSPA naijua vizuri sana mkuu.
 
Una umri gani?
Mkuu mbona umekazania suala la umri? Umri unahusika nini hapo?
Anyways Mimi sina presha wala kisukari kama wewe mkuu. Damu yangu bado inachemka. Siri kuku wa kizungu wala sinywi soda. Plus ninafanya mazoezi kila siku. So akili yangu bado ipo fresh. Wewe endelea kuwaza mambo ya katiba ya Warioba na vita vya Ukraine kwa sababu unadhani ndio huo. Mimi wacha niendelee kufanya kile kilichofanya wanaume tuletwe duniani
 
Hivi anaeanzisha uzi kama huu Ana miaka mingapi.? Yaani mimi kwa umri wangu huu, eti nisubirie SMs ya mambo... Ila sio kosa lako hata mm nilipita huko huko,
Wapi nimekwambia nasubiria meseji ya " mamb" ? Meseji zinakuja zenyewe. Tena kuna moja imeingia halo kutoka kwa Caren ngoja niifungue niisome
 
NDUGU wa Mleta mada tumeni namba ya simu ili tufanikishe safari ya mgonjwa wetu kwa michango maana Dodoma mbali na kama zitahitajika kamba natoa ahadi ya kagharamia haya wana jf tujiandae kwa michango Milembe moja hiyo.
Wewe ndo unapaswa kupelekwa milembe. Kama ishu ndogo kama hii niliyopost inakufukirisha hivyo basi something is missing in your head. Una stress . Mi sina stress kama wewe mkuu. Stress ni shambulio kwenye akili
 
Wahi Mirembe wewe,naona umejipa kazi ya kuwalisha watu maneno yako.
Wewe ndio uende mirembe mkuu kwa sababu una stress na maisha ndio maana umeshangazwa na mada yangu. Wewe huwezi kuwaza kama mimi kwa sababu una stress. Mimi sina stress mkuu.
 
Kuna utofauti kati ya mwanamme na mvulana wewe bado ni mvulana kwanza mwanamme unaanzaje kutumiwa sms ya mamb? Mwanamme anapokea sms ya shikamoo..... Nadaiwa ada. Bili ya maji imekuja, luku imeisha n.k
Unadhani kuwa na mawazo mengi ndio uanaume eeh? You love to stress yourself eeh?
You guys love to live a stressful life.

Wants wrong with u guys.

Nani alie waroga?
 
Back
Top Bottom