Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

Kwa jinsi alivyoyakoroga mambo, hana hata courage ya kukemea rushwa au ufisadi. God damn this crooked woman!
 
Yeye mwenyewe alishasema 2022 wajipimie kwa urefu wa kamba zao.

Sasa kibonge mafuta amejipimia kadiri kamba yake inavyomruhusu.

Your browser is not able to display this video.

Majizi ukiyafungulia kamba ndefu na unasema wazi yajipimie unafikiri kuna kutosheka kwenye kuiba.?
 
Wenye akili timamu tuu ndio wanajua ni kwa namna gani Tanzania imepoteza rais aliyebora na sahihi kuliko marais wote wa Tanzania ukiwachanganya kwa pamoja.
 
Assad alitumika sn na wanamtandao akaanza kuumba maneno ili kudhoofisha utawala wa Magu..
 
Kuna ukweli wowote wa jiwe kutwaa maelfu ya ekari za ardhi Karagwe kwa ajili ya ranchi yake na kiwanda cha maziwa??
OK tuseme n kweli, je hicho kiwanda angeajiri familia yake?

OK huu upigaji unaofanywa na samia na familia yake unawanufaisha akina nani?


Mkuu, tumia akili ndogo tuu.
 
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Huyu mdada nilijaribu sana kumtokea nimchukuwe ili nami niwe mtoto pendwa ili nije kuwa fisadi mkubwa kama mtoto wa mama. Lakini huyu alibanwa sana na wale makachero wa hii nchi
 
JPM alikuwa mchapa kazi sana na alitaka maendeleo, tatizo udikteta wake wa kuiba uchaguzi, kuumiza wapinzani ulimfanya aonekane wa hovyo tuu, na utekaji na mauaji ni legacy yake pia
Kulikuwa na orchestrated efforts za kumtoa kwenye reli. Mafisadi na political foes waliendesha false-flag operations nyingi ili kumchafua na kumdhoofisha. He wasn’t perfect, but he wasn’t as bad as his enemies wanted us to believe. So far, Samia The Killer is the most evil leader this country has ever had!
 
Wewe kinachokuuma hasa ni nini? Mtoto wa Rais kusukuma ndinga kali? Jeska Magufuli aliposema kwenye interview kuwa Babaake Mwamba alimnunulia IST kwanini mlicheka? Watu maskini kama ninyi hata hamjui mnataka nini?
 
Ww endelea kulombwa na Abdul
Abdul hayuko serikalini. Ni ujinga kumtuhumu kwa ufisadi huyo Abdul.

1. Jiwe alimuweka mtoto wa dadake, Dotto James kuwa paymaster general akawa anamchotea pesa atakavyo..

2. Jiwe alimuweka mtoto wa dadake Heri James kuwa mwenyekiti wa UVCCM......
 
Wakulaumiwa hapa ni chama tawala tu
Hapana, ni Kikwete.
Chaguo la Magufuli liluikuwa Dr Hussein Mwinyi lakini Kikwete aka muintroduce Samia kwa Magu kuwa awe chaguo lake la pili na kwenda na majina mawili kwenye kamati ndogo na huko akalipigia chapuo jila la Samia kwa card ya gender.

Kikwete na genge lake walijua kuwa hawawezi kumkontro Magufuli na hivyo waliitaji kuwa na mtu wao ndani kabisa ya serikali na ndio uliona nyeti nyingi sana za serikali yake ziliwekwa nje na wakina Kigogo twitter wakitoa hizi siri kupitia kwa bi mdashi.
 
Wewe kinachokuuma hasa ni nini? Mtoto wa Rais kusukuma ndinga kali? Jeska Magufuli aliposema kwenye interview kuwa Babaake Mwamba alimnunulia IST kwanini mlicheka? Watu maskini kama ninyi hata hamjui mnataka nini?
Wapi mimi nilicheka? Fala mburukenge wewe 🖕.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…