Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

Hivi Huyo raisi si anafunguliwa mlango na kufungiwa,kwanini wanaomfungulia wasiweke kingazi cha kushukia kuliko kupoteza hela zote hizo?
 
alitaka yeye mwenyewe. na aliamua kuishi hivyo maana aliona ndio maisha yanayo mfaa.
usaifiri wa serikal alipewa yeye ndio alikataa kuutumia.
Hakuwa na tamaa hata Nyerere walitaka kumjengea nyumba kubwa ya ghorofa Butiama akawaambi yeye sio tembo.
 
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu.

View attachment 1778776View attachment 1778777

Rais wa Uruguay mstaafu Jose Mujica enzi ya urais wake (2010 - 2015) alikuwa anatembelea Voxwagen.

View attachment 1778844

Aliopostaafu alipewa zawadi ya tractor.

View attachment 1778855
IST, FunCargo ni za wadada kuendea kwa michepuko
 
Usalama wa gari ndio kitu muhimu zaidi bwashee!
Tatizo wanàmfananisha Mzee Ruksa na wale wazee wa Saigon pale kariakoo... wamesahau huyu alikuwa kiongozi wa nchi na wamesahau zaidi yako magari ya thamani alipewa Mwalimu baada ya kustaafu hata akajengewa na nyumba ya kuishi kule Butiama (hatukuwa tumetajirika au nchi kuwa katika neema bali ni heshima kwa utumishi wake)
Tunapaswa kujadili vitu vyenye akili zaidi kama katiba mpya na sheria mbovu na onezi kuondolewa kuliko kuhamishia magoli kwenye "vitu vya kipuuzi"
 
Kwanini basi unajadili vitu visivyo na akili si unge- mute.
 
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu.

View attachment 1778776View attachment 1778777

Rais wa Uruguay mstaafu Jose Mujica enzi ya urais wake (2010 - 2015) alikuwa anatembelea Voxwagen.

View attachment 1778844

Aliopostaafu alipewa zawadi ya tractor.

View attachment 1778855
These are below his diginity!
 
Back
Top Bottom