Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Tena ni kazi kweli kweli mkuu. Mungu aendelee kumpa Rais Mwinyi afya njema pamoja na maisha marefu zaidi.Duh kazi ipo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni kazi kweli kweli mkuu. Mungu aendelee kumpa Rais Mwinyi afya njema pamoja na maisha marefu zaidi.Duh kazi ipo
Ova
Hii zawadi imekua na masimango sana bora aikatae... mwisho italeta shida
Achana na mentality za ukabila na ukanda. Wazanzibar walinyanyaswa kwa ushahidi upi?Wazanzibari mliwadharau na Kuwanyanyasa sana tu sasa kwa Tanzania Bara na Visiwani huu ni wakati wao Kutamba, Kubebana na Kuinuana Kimaisha. Watu wa Bara sasa tutulie tu na tutawakoma!!
alikataa gari la serikali na kutumia lake?Nyerere.
Hahahahaha watesema una roho ya kimaskiniKulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu.
View attachment 1778776View attachment 1778777
Rais wa Uruguay mstaafu Jose Mujica enzi ya urais wake (2010 - 2015) alikuwa anatembelea Voxwagen.
View attachment 1778844
Aliopostaafu alipewa zawadi ya tractor.
View attachment 1778855
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu.

Jamani gari gani halina usalama mbona yote yako barabarani hebu acheni hizo,,,,,,, ,,,,,,,,,Usalama wa gari ndio kitu muhimu zaidi bwashee!
Mkuu kwa hiyo sisi tunaotembelea carina ni maskini wa kutupwa, mbona hiki kijiwe kimeanza kuwa na dharau namna hii?😹😹😹 Hata kama ni upinzani tuwe na kiasi jamani!! Yaani aliyewahi kuwa Rais wa both JMT na Zanzibar atembelee Carina?? Hii nchi sio Maskini kwa extent hiyo
Kama ameshauriwa vibaya na akakubali kwa hili swala dogo je kwenye mambo makubwa itakuwaje.List ni ndefu
Carina Ti
Rumion
Ipsum
Porte nknk
Hata hivyo tusimlaumu sana bi mkubwa SASHA kashaurika vibaya na wapigaji wanaojiinua taratibu kwenye utawala wake
Kama Rais ameshauriwa hivyo na kukubali bila tafakuli jadidi kuna hatari ya wajanja kujipenyeza na kuhujumu nchi!! Mama hana budi kuwa muangalifu na mali za nchi.!!Hii zawadi imekua na masimango sana bora aikatae... mwisho italeta shida
Kwanini basi unajadili vitu visivyo na akili si unge- mute.