Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

Hivi Huyo raisi si anafunguliwa mlango na kufungiwa,kwanini wanaomfungulia wasiweke kingazi cha kushukia kuliko kupoteza hela zote hizo?
 
alitaka yeye mwenyewe. na aliamua kuishi hivyo maana aliona ndio maisha yanayo mfaa.
usaifiri wa serikal alipewa yeye ndio alikataa kuutumia.
Hakuwa na tamaa hata Nyerere walitaka kumjengea nyumba kubwa ya ghorofa Butiama akawaambi yeye sio tembo.
 
IST, FunCargo ni za wadada kuendea kwa michepuko
 
😹😹😹 Hata kama ni upinzani tuwe na kiasi jamani!! Yaani aliyewahi kuwa Rais wa both JMT na Zanzibar atembelee Carina?? Hii nchi sio Maskini kwa extent hiyo
Tatizo ni sababu zilizotolewa kutoa zawadi.
 
Usalama wa gari ndio kitu muhimu zaidi bwashee!
Tatizo wanàmfananisha Mzee Ruksa na wale wazee wa Saigon pale kariakoo... wamesahau huyu alikuwa kiongozi wa nchi na wamesahau zaidi yako magari ya thamani alipewa Mwalimu baada ya kustaafu hata akajengewa na nyumba ya kuishi kule Butiama (hatukuwa tumetajirika au nchi kuwa katika neema bali ni heshima kwa utumishi wake)
Tunapaswa kujadili vitu vyenye akili zaidi kama katiba mpya na sheria mbovu na onezi kuondolewa kuliko kuhamishia magoli kwenye "vitu vya kipuuzi"
 
Kwanini basi unajadili vitu visivyo na akili si unge- mute.
 
These are below his diginity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…