Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

Wazanzibari mliwadharau na Kuwanyanyasa sana tu sasa kwa Tanzania Bara na Visiwani huu ni wakati wao Kutamba, Kubebana na Kuinuana Kimaisha. Watu wa Bara sasa tutulie tu na tutawakoma!!
Achana na mentality za ukabila na ukanda. Wazanzibar walinyanyaswa kwa ushahidi upi?
 
Hahahahaha watesema una roho ya kimaskini
 
Tufike mahali tuheshimu nafasi za wale waliotuongoza na kujali afya na usalama wao ,haswa wale waliotuongoza vyema na mwisho kuachia madaraka kwà amani Bila kuingiwa na uchu wa madaraka.

Kiukweli nashangazwa na mijadala kuhusu gari ya mkuu wa nchi mstaafu ambaye tulimkabidhi majukumu makubwa yakutoongoza kwa miaka kumi,akatufikisha alipotufikisha akamwachia mwingine kwa amani.

Leo umkabidhi Ist kweli kama zawadi , usalama wake na heshima yake vipi!? isitoshe sababu za kupewa hiyo rais kaeleza. Zawadi ina maana kubwa, hamanishi kwamba hauna uwezo wa kununua kile unachopewa. Mbona marafiki tu wanapeana zawadi za magari sembuse rais mtaafu,
 

Hivi sisi nchi ya uchumi wa kati kweli tunajadili gari moja! wakati kuna watu wa vyama wa chini wana magari na milioni 300! Mzee huyu kupewa gari moja kuna ubaya gani!! Kwanini tusishukuru wametoa kwa uwazi! Je tunajua wengine wanapewa nini🤔
 
Rais mstaafu africa apewe babywalker
Wakati bungeni watu wamekatazwa hata kutumia bodaboda
 
Huo ni upuuzi wako na upupu wako....mataga mnaweweseka na bado....ndio kwanza miezi 2 tuu
 
😹😹😹 Hata kama ni upinzani tuwe na kiasi jamani!! Yaani aliyewahi kuwa Rais wa both JMT na Zanzibar atembelee Carina?? Hii nchi sio Maskini kwa extent hiyo
Mkuu kwa hiyo sisi tunaotembelea carina ni maskini wa kutupwa, mbona hiki kijiwe kimeanza kuwa na dharau namna hii?
 
List ni ndefu
Carina Ti
Rumion
Ipsum
Porte nknk
Hata hivyo tusimlaumu sana bi mkubwa SASHA kashaurika vibaya na wapigaji wanaojiinua taratibu kwenye utawala wake
Kama ameshauriwa vibaya na akakubali kwa hili swala dogo je kwenye mambo makubwa itakuwaje.

Ila kwa hili la zawadi ya HBD, mama ameanza kunipa wasiwasi.
 
Hii zawadi imekua na masimango sana bora aikatae... mwisho italeta shida
Kama Rais ameshauriwa hivyo na kukubali bila tafakuli jadidi kuna hatari ya wajanja kujipenyeza na kuhujumu nchi!! Mama hana budi kuwa muangalifu na mali za nchi.!!
 
Nimetoa ushauri tu si lazima sana uufuate Mkuu... kuna katiba mpya, kesi za kubambikiza... bunge kuburutwa na mtu mmoja hata kujiteulia wabunge wake na kuwalinda kwa nguvu zake zote...
Kwanini basi unajadili vitu visivyo na akili si unge- mute.
 
Mkuu kumbuka unayemuongelea ni mtu wa hadhi ya rais ukweli ni kwamba ist wala fun cargo siyo hadhi yake. Ila kiuhalisia angepewa Quran ingemfaa zaidi kuliko hata ist wala funcargo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…