Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

We mtoa mada ungetoka hospital hujarecover completely ungetaka makamera kwako?. Msipende kudandiadandia mambo bhana. Au basi mtumeni Woody akapige picha kwa juu pale kwa comrade
Ebu tuliza mshono huo
 
Na ikiwa kweli alitumwa kwa matibabu naamini siku aliyorudi tbc ingeamriwa ionyeshe tukio la kurudi kinana live Ili kuwakomesha waliosema yupo house arrest.
 
Kuna Uzi uliorushwa kwamba alipotaka kuhutubia tu wanahabari alikamatwa na kutiwa vitasa vya kutosha coz ilionekana anataka kumuunga mkono nape

Hii ina maana kwamba kama angelazimisha kuonana na media yangelimkuta yaliyomkuta Nape!!!
Kwa ujumla huyu Rais wa sasa ameonyesha kila dalili pasi na shaka kuwa ni Rais DIKTETA na KATILI ambaye Tanzania haikuwahi kuwa naye tangu uhuru!!!!.
 
Jaman kama katibu amekuja haliyake haijaricover apokelewe2 na wa2 kunahali pia yamgonjwa inayoruhusu kupokelewa nawatu mtoa hii mada labda atufafanulie alitakaje nakwann nakwafaidagan kwahicho alichokitaka
Wewe haya yanayo endelea unayaona ya kawaida? Watanzania tuna utamaduni wetu. Mwalimu alipo lazwa Uingereza watu walikuwa wanabadilishana kwenda kumjulia hali. Hata speaker wa Bunge Job Ndugai alipo lazwa India watu wengi sana walienda kumjulia hali. Hata alipokuwa anaendelea na mapumziko nyumbani kwake watu chungu nzima walienda kumjulia hali na kumuombea apone haraka. Sasa imekuwaje kwa Comrade Kinana? Watu hawaendi kumpa pole? Au wameambiwa wabane matumizi?
 
Ndio tatizo lipo hapo! Kama ungekuwa umesoma saikolojia ungejua kuwa Polepole amedanganya. Akiwa ana sema kitu cha kweli kutoka moyoni mwake lile siyo pozi lake kabisa.
Proposition yako hiyo ni objective au subjective? Verify please!

NB: Sisomi Saikolojia, nafundisha Saikolojia!
 
Proposition yako hiyo ni objective au subjective? Verify please!

NB: Sisomi Saikolojia, nafundisha Saikolojia!
Unamfahamu vizuri Polepole? akiwa na uhakika wa jambo kwanza huwa confident asilimia mia na hutoa a certain smile ya kuonesha anakwenda sambamba na hadhira. Jana alikuwa anachagua maneno kwa umakini mkubwa.
 
Mbona sioni tatizo lolote....

Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....

Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Naona Wasukuma mmeunda Alliance yenu. Anyway ni zamu yenu hii ila mjitahidi walau kujenga vyoo huko kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…