Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

Nanamucho

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
124
Reaction score
630
Dada yenu,mdogo wenu na last born wenu wa Jamii Forums wa kizazi Cha 2000 ninakuja mbele yenu nikiwa hai hapa Tengeru Arusha,ninamshukuru Mungu kwakuwa siku ya maandamano niliamua tu kulala ndani kwangu,si kwamba naogopa ila sikuwa na Imani kama ndugu zangu Watanzania watajitokeza Kwa wingi,nilipoangalia clips ndipo nikagundua kumbe Watanzania Wenzangu hasa wadada walikuwa wengi mtaani wakidai mabadiliko

Nimefiwa na mtoto wa dada yangu aitwaye Dana aliuawa akiwa huko Bunda kama mwajiliwa wa serikali kwenye sekta ya ualimu!,yote Kwa yote nakuombea Kwa Mola ampe pumziko mema

Baada ya kuangalia Clips za mauaji ya Watanzania wenzetu ndipo nimekuja kujua kumbe mwanaume hapaswi kudharaulika Kwa namna yoyote Ile,wanaume wote kuanzia Leo nomewavulia kofia,Nawapenda kwakweli,Mungu awabariki sana

Wanaume wengi ni wajasili na wanajitoa kwakweli Kwa ajili ya familia zao,Sijawahi kushuhudia mtu amekufa lakini juzi nimeona!,pamoja na mwenzao kufariki lakini wale wa kaka walikuwa wakimuombolezea mwenzao Kwa uchungu na waliandamana kwenda kumzika mwenzao huku wakiimba Kwa ujasiri,Nyie wanaume nyie Mungu awatunze Kwa kweli

Nimeogopa kilichotokea lakini wanaume wamenipa moyo sana na niko tayari kuungana na wanaume wa Arusha majasili

Jamani nimekwazika na utawala wa huyu mama Kwa Kuua Vijana wa Arusha na Watanzania,Nilikuwaga mpenzi na shabiki wa Samia lakini baada ya kuona damu Kwa kweli hapana!
 
Asee ndio umejua wanaume ni watu wakati huu wa maandamano??

Kama ulilelewa na baba anayewajibika ulitakiwa kujua hakuna kama wanaume na maua yao yapo na walitakiwa kupewa since day one
 
Pole sana kwa kufiwa na ndugu yako, ajaliwe kupumzika kwa amani.

Pamoja na kujali na kutambua nafasi ya mwanaume, si mwanaume pekee mwenye mchango chanya hata mwanamke pia, mchango wa mwanamkw kumpa moral mwanaume ni mkubwa sana .
Hivyo sote twahitaji kupongezana na kutiana moyo kulikomboa taifa kwa maslahi ya kizazi kinacho tuandama.
 
Kaka Rayns nimekucheki pm kimyaa na hujaniambia hapo mbeya shida nini nakumbuka uliniambia "SIASA SIO VITU VYAKO" ......

Mkuuu hii jeiefu kwangu haina maana kama wewe haupo🙌🙌
 
Pole sana kwa kufiwa na ndugu yako, ajaliwe kupumzika kwa amani.

Pamoja na kujali na kutambua nafasi ya mwanaume, si mwanaume pekee mwenye mchango chanya hata mwanamke pia, mchango wa mwanamkw kumpa moral mwanaume ni mkubwa sana .
Hivyo sote twahitaji kupongezana na kutiana moyo kulikomboa taifa kwa maslahi ya kizazi kinacho tuandama.
Mwanamke hata akipewa aongoze familia halafu mwanaume ni jobless,

Utaona rangi zoooooote mkuuu🙌🙌🙌
Sembuse ofisi, mkoa, jimbo na hata jumuiya🥲
 
Dada yenu,mdogo wenu na last born wenu wa Jamii Forums wa kizazi Cha 2000 ninakuja mbele yenu nikiwa hai hapa Tengeru Arusha,ninamshukuru Mungu kwakuwa siku ya maandamano niliamua tu kulala ndani kwangu,si kwamba naogopa ila sikuwa na Imani kama ndugu zangu Watanzania watajitokeza Kwa wingi,nilipoangalia clips ndipo nikagundua kumbe Watanzania Wenzangu hasa wadada walikuwa wengi mtaani wakidai mabadiliko

Nimefiwa na mtoto wa dada yangu aitwaye Dana aliuawa akiwa huko Bunda kama mwajiliwa wa serikali kwenye sekta ya ualimu!,yote Kwa yote nakuombea Kwa Mola ampe pumziko mema

Baada ya kuangalia Clips za mauaji ya Watanzania wenzetu ndipo nimekuja kujua kumbe mwanaume hapaswi kudharaulika Kwa namna yoyote Ile,wanaume wote kuanzia Leo nomewavulia kofia,Nawapenda kwakweli,Mungu awabariki sana

Wanaume wengi ni wajasili na wanajitoa kwakweli Kwa ajili ya familia zao,Sijawahi kushuhudia mtu amekufa lakini juzi nimeona!,pamoja na mwenzao kufariki lakini wale wa kaka walikuwa wakimuombolezea mwenzao Kwa uchungu na waliandamana kwenda kumzika mwenzao huku wakiimba Kwa ujasiri,Nyie wanaume nyie Mungu awatunze Kwa kweli

Nimeogopa kilichotokea lakini wanaume wamenipa moyo sana na niko tayari kuungana na wanaume wa Arusha majasili

JAmani nimekwazika na utawala wa huyu mama Kwa Kuua Vijana wa Arusha na Watanzania,Nilikuwaga mpenzi na shabiki wa Samia lakini baada ya kuona damu Kwa kweli hapana!
pole sana kwa msiba, asante pia kwa kutusifia keyboardmen

anyway, nguo zote hizo ulizovaa umeona kitu kizuri cha kutuvulia wanaume ni kofia
 
Back
Top Bottom