Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

asee we jamaa ni wa wapi? Maana nahisi hata mwalimu wako alipata shida kwelikweli ili kukuelewesha!! Nilipiga baadhi ya picha kwenye simu yangu ambayo ilipasuka kioo wakati nakimbia baada ya kuungana na wenzangu kwenda kwa mkuu wa wilaya ya Tarime halafu polisi wakatokea na kuanza kuturushia shaba! nimeyaona mengi sana kwenye maandamano mpaka kuna muda nilikuwa nikilala nayaota! ikiwa wewe ni mkazi wa tarime utanielewa vizuri! halafu keybody warior ni wewe na baba ako. pimbi wewe!
wewe hukuandamana ulikuwa unashangaa, wakati mimi nipo kitandani natype wewe ulikuwa dirishani unachungulia. wewe ni keyboard warrior mwenzangu tu umenizidi tu typing ya uongo

kidogo nisahau aisee, pimbi mwenyewe
 
"siasa inapofanywa kazi yenye malipo makubwa kuliko ueledi (professionalism) mtu yeyote atafanya lolote ili apate hiyo kazi"
Nasubiri Kwa uvumilivu waniingize ikulu Ili nitatue matatizo kama haya Kwa uamuzi mmoja mkubwa matata sana ambao utafanya siasa kuwa KAZI ya kizalendo na sio mlango wa kutajirikia na kujilimbikizia mali!

Damu iliyomwagika ni kwasababu ya siasa kuwa na malipo makubwa kuliko kazi nyingine zozote!!

Nasubiri!
 
wewe hukuandamana ulikuwa unashangaa, wakati mimi nipo kitandani natype wewe ulikuwa dirishani unachungulia. wewe ni keyboard warrior mwenzangu tu umenizidi tu typing ya uongo

kidogo nisahau aisee, pimbi mwenyewe
aisee mbona unalazimisha nikubali ujinga wako? Pimbi kama nyie ni mnatakiwa mnyongwe! Yaani nakuambia ukweli ila sababu wewe ni pimbi hautaki kuelewa! Hata hivyo what was i thinking! You are the old dog! I can't teach the old dog! Screw you stupid warthog!
 
na wewe mbona unalazimisha nikubali uongo wako? hakuna mtu amewahi kwepa risasi acha kutupanga, eti ooh ilipigwa risasi nikasukumwa ikampata mtu wa nyuma unatuona maboya au sio, unajivika ushujaa nyuma ya keyboard uonekane mwamba

bila kusahau, pimbi mwenyewe
 
unaona ulivyo pimb? Yaani ni wapi nimesema nilihepa risas? Mimi nimesema nilisukumwa wakati nakimbia, nikaanguka then nikastukia risasi ikimpata wa mbele yangu! Na ndomaana nimesema nina bahati kutoka salama japo sio sana maana nina majeraha pamoja na trauma lefted on my mind! Pimbi kama wewe huwezi kuelewa! Hata ukieleweshwa mara buku 1!
 
utofauti wako na mimi ni kuwa wewe umenizidi kwenye kujisifia nyuma ya keyboard. waliokufa pekee ndio walioandamana

Shammy- njoo umsikie huyu dogo eti aliandamana halafu hajafa
Itakuwa aliandamana uvunguni mwa kitanda na demu wake
Walioandamana wapo mwanandani ..🤣
 
as long as pimbi kama hizi zipo duniani, mwanaume yuko kwenye hatari ya kutoweka!! Yaani hauwezi kuuficha upimbi wako? Takataka kabisa.
Feminism haijaaribu akili za wanawake tu, kuna wanaume wengi pia wamearibiwa akili na feminism mfano huyo uliemjibu.

Huyo hata akiwa faragha mkewe akamwambia ainame dogstyle nina uhakika atainama tu maana akili yake inamuaminisha yupo sawa na mwanamke
 
Nani huyo anadharau wanaume huko?

😂

Movement za ukombozi zote ni dhidi ya ukandamizaji na si jinsia, Mfumodume kwa kipindi kirefu umekandamiza haki za wanawake, hatuna bifu tunapinga ukandamizaji unaoweza kuleta bifu.
Katika mahusiano ya mwanaumr na mwanamke ni eneo lipi ambalo limeimarika baada ya hayo mapambano dhidi ya mfumo dume?

-Taasisi ya ndoa na familia imeimarika?
-Jamii ina maadili mazuri?
-Utu, heshima na hadhi ya mwanamke imepanda?
 
Kila nikiwaza penzi jipya halafu Kijana wangu yuko lockdown huko nachoka sana

Ifikie hatua huyo mama aachie ngazi. Awaachie wapenzi wetu tufurahie mapenzi khaaaa
 
Back
Top Bottom