Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

Kwa mawazo na kuamini hivyo, mahusiano, ndoa na baraka zitakunufaisha mpaka mwisho wa maisha Yako 🙏
Ubarikiwe mno
 
Hakuna binadabu anayepaswa kudharauliwa awe mwanaume au mwanamke, wanaume wanayo mazuri mengi tu kwenye jamii. Ila linapokuja suala la mapenzi na mahusiono ule msemo kwamba wanaume wote ni umbwa. Unabaki pale pale.
Wewe mama wewe. Yaani sisi ni dogs. Mungu anakuona ati.
 
Kaka Rayns nimekucheki pm kimyaa na hujaniambia hapo mbeya shida nini nakumbuka uliniambia "SIASA SIO VITU VYAKO" ......


Mkuuu hii jeiefu kwangu haina maana kama wewe haupo🙌🙌
Mkuu hii komenti iishi milele tafadhali 👍👍💯💯💯🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom