Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
🙏🙏Nimekupenda bure kwa coment hii.
🙏🙏Nimekupenda bure kwa coment hii.
Wavulie hadi bikiniKafe mbele
Wakati wangu huu sasa kumtafuta yule anayependa wanaume wenye sauti nzito (bass). Sauti yangu imeongezeka uzito.Dada yenu,mdogo wenu na last born wenu wa Jamii Forums wa kizazi Cha 2000 ninakuja mbele yenu nikiwa hai hapa Tengeru Arusha,ninamshukuru Mungu kwakuwa siku ya maandamano niliamua tu kulala ndani kwangu,si kwamba naogopa ila sikuwa na Imani kama ndugu zangu Watanzania watajitokeza Kwa wingi,nilipoangalia clips ndipo nikagundua kumbe Watanzania Wenzangu hasa wadada walikuwa wengi mtaani wakidai mabadiliko
Nimefiwa na mtoto wa dada yangu aitwaye Dana aliuawa akiwa huko Bunda kama mwajiliwa wa serikali kwenye sekta ya ualimu!,yote Kwa yote nakuombea Kwa Mola ampe pumziko mema
Baada ya kuangalia Clips za mauaji ya Watanzania wenzetu ndipo nimekuja kujua kumbe mwanaume hapaswi kudharaulika Kwa namna yoyote Ile,wanaume wote kuanzia Leo nomewavulia kofia,Nawapenda kwakweli,Mungu awabariki sana
Wanaume wengi ni wajasili na wanajitoa kwakweli Kwa ajili ya familia zao,Sijawahi kushuhudia mtu amekufa lakini juzi nimeona!,pamoja na mwenzao kufariki lakini wale wa kaka walikuwa wakimuombolezea mwenzao Kwa uchungu na waliandamana kwenda kumzika mwenzao huku wakiimba Kwa ujasiri,Nyie wanaume nyie Mungu awatunze Kwa kweli
Nimeogopa kilichotokea lakini wanaume wamenipa moyo sana na niko tayari kuungana na wanaume wa Arusha majasili
JAmani nimekwazika na utawala wa huyu mama Kwa Kuua Vijana wa Arusha na Watanzania,Nilikuwaga mpenzi na shabiki wa Samia lakini baada ya kuona damu Kwa kweli hapana!
Upo sahihi mkuu, na mwanaume kuoa mwanamke asiyepita katika mikono ya baba ni risk.Asee ndio umejua wanaume ni watu wakati huu wa maandamano??
Kama ulilelewa na baba anayewajibika ulitakiwa kujua hakuna kama wanaume na maua yao yapo na walitakiwa kupewa since day one
as long as pimbi kama hizi zipo duniani, mwanaume yuko kwenye hatari ya kutoweka!! Yaani hauwezi kuuficha upimbi wako? Takataka kabisa.Pole sana kwa kufiwa na ndugu yako, ajaliwe kupumzika kwa amani.
Pamoja na kujali na kutambua nafasi ya mwanaume, si mwanaume pekee mwenye mchango chanya hata mwanamke pia, mchango wa mwanamkw kumpa moral mwanaume ni mkubwa sana .
Hivyo sote twahitaji kupongezana na kutiana moyo kulikomboa taifa kwa maslahi ya kizazi kinacho tuandama.
keybody warior akijitambulisha. Wewe ni pimbi sana. Yaani unadhani wewe na keybody wariors wenzao mlipoandamana juu ya kitanda ni wote? Mpuuzi kwelikweli. Wengine hapa tuna majeraha yaliyotokana na kuenda kudai haki yetu alafu pimbi mmoja kama wewe unashiba nyasi then unajuja h tmu kuropoka ujinga!! Haujui wengine tumeponea chuchupu? Mfano mimi nilikoswa na risasi baada ya kusukumwa na kuanguka chini then risasi zikampata dogo alekuwa mbele yangu! Ponapona yangu ni baada ya wajeda kuwazuia askari waache kupiga risasi maana day 1 wajeda walikuwa upande wetu. Oyaa we jamaa, onesha heshima maana ni kitu cha bure! Keybody wariors ni kama akina mshana jr.pole sana kwa msiba, asante pia kwa kutusifia keyboardmen
anyway, nguo zote hizo ulizovaa umeona kitu kizuri cha kutuvulia wanaume ni kofia
we nae mbona haueleweki? We si umesema haukuandamana badala yake ulilala? Sasa ulijuaje kama wadada walikuwa wengi?Si kweli mkuu,hapa Arusha wadada walikuwa wengi
HAIOMBWI HIVI MZEEPole sana kwa kufiwa na ndugu yako, ajaliwe kupumzika kwa amani.
Pamoja na kujali na kutambua nafasi ya mwanaume, si mwanaume pekee mwenye mchango chanya hata mwanamke pia, mchango wa mwanamkw kumpa moral mwanaume ni mkubwa sana .
Hivyo sote twahitaji kupongezana na kutiana moyo kulikomboa taifa kwa maslahi ya kizazi kinacho tuandama.
Ngoja waje Feminist na singo mazaz wakupopoe maweUpo sahihi mkuu, na mwanaume kuoa mwanamke asiyepita katika mikono ya baba ni risk.
Mwanamke mchukue kwa wazazi wake, inapunguza risk. Hawa feminists ni wa kuwakimbia kabisa.Ngoja waje Feminist na singo mazaz wakupopoe mawe
Oooh kumbeUpo sahihi mkuu, na mwanaume kuoa mwanamke asiyepita katika mikono ya baba ni risk.
utofauti wako na mimi ni kuwa wewe umenizidi kwenye kujisifia nyuma ya keyboard. waliokufa pekee ndio walioandamanakeybody warior akijitambulisha. Wewe ni pimbi sana. Yaani unadhani wewe na keybody wariors wenzao mlipoandamana juu ya kitanda ni wote? Mpuuzi kwelikweli. Wengine hapa tuna majeraha yaliyotokana na kuenda kudai haki yetu alafu pimbi mmoja kama wewe unashiba nyasi then unajuja h tmu kuropoka ujinga!! Haujui wengine tumeponea chuchupu? Mfano mimi nilikoswa na risasi baada ya kusukumwa na kuanguka chini then risasi zikampata dogo alekuwa mbele yangu! Ponapona yangu ni baada ya wajeda kuwazuia askari waache kupiga risasi maana day 1 wajeda walikuwa upande wetu. Oyaa we jamaa, onesha heshima maana ni kitu cha bure!
asee we jamaa ni wa wapi? Maana nahisi hata mwalimu wako alipata shida kwelikweli ili kukuelewesha!! Nilipiga baadhi ya picha kwenye simu yangu ambayo ilipasuka kioo wakati nakimbia baada ya kuungana na wenzangu kwenda kwa mkuu wa wilaya ya Tarime halafu polisi wakatokea na kuanza kuturushia shaba! nimeyaona mengi sana kwenye maandamano mpaka kuna muda nilikuwa nikilala nayaota! ikiwa wewe ni mkazi wa tarime utanielewa vizuri! halafu keybody warior ni wewe na baba ako. pimbi wewe!utofauti wako na mimi ni kuwa wewe umenizidi kwenye kujisifia nyuma ya keyboard. waliokufa pekee ndio walioandamana
Shammy- njoo umsikie huyu dogo eti aliandamana halafu hajafa
Ohooo...Kofia tu haitoshi mkuu
Huo utu wa kuuwa watu kaeni nao tu hatuutaki.Kazi na utu tunasonga mbele 🔥🔥🔰