Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

Wakati wangu huu sasa kumtafuta yule anayependa wanaume wenye sauti nzito (bass). Sauti yangu imeongezeka uzito.
 
as long as pimbi kama hizi zipo duniani, mwanaume yuko kwenye hatari ya kutoweka!! Yaani hauwezi kuuficha upimbi wako? Takataka kabisa.
 
pole sana kwa msiba, asante pia kwa kutusifia keyboardmen

anyway, nguo zote hizo ulizovaa umeona kitu kizuri cha kutuvulia wanaume ni kofia
keybody warior akijitambulisha. Wewe ni pimbi sana. Yaani unadhani wewe na keybody wariors wenzao mlipoandamana juu ya kitanda ni wote? Mpuuzi kwelikweli. Wengine hapa tuna majeraha yaliyotokana na kuenda kudai haki yetu alafu pimbi mmoja kama wewe unashiba nyasi then unajuja h tmu kuropoka ujinga!! Haujui wengine tumeponea chuchupu? Mfano mimi nilikoswa na risasi baada ya kusukumwa na kuanguka chini then risasi zikampata dogo alekuwa mbele yangu! Ponapona yangu ni baada ya wajeda kuwazuia askari waache kupiga risasi maana day 1 wajeda walikuwa upande wetu. Oyaa we jamaa, onesha heshima maana ni kitu cha bure! Keybody wariors ni kama akina mshana jr.
 
HAIOMBWI HIVI MZEE
 
Kuna wanaume eti walijifungia ndani km mwali!
Yan masela wapo road wewe kima unajifungia ndani km nani?!
Mbaya zaidi wakala chuma ndani mafichoni!!
Mwaume unaogopaje mwanaume mwenzio?

9dec tukutane.
 
Hakuna binadabu anayepaswa kudharauliwa awe mwanaume au mwanamke, wanaume wanayo mazuri mengi tu kwenye jamii. Ila linapokuja suala la mapenzi na mahusiono ule msemo kwamba wanaume wote ni umbwa. Unabaki pale pale.
 
Nani huyo anadharau wanaume huko?

πŸ˜‚

Movement za ukombozi zote ni dhidi ya ukandamizaji na si jinsia, Mfumodume kwa kipindi kirefu umekandamiza haki za wanawake, hatuna bifu tunapinga ukandamizaji unaoweza kuleta bifu.
 
utofauti wako na mimi ni kuwa wewe umenizidi kwenye kujisifia nyuma ya keyboard. waliokufa pekee ndio walioandamana

Shammy- njoo umsikie huyu dogo eti aliandamana halafu hajafa
 
utofauti wako na mimi ni kuwa wewe umenizidi kwenye kujisifia nyuma ya keyboard. waliokufa pekee ndio walioandamana

Shammy- njoo umsikie huyu dogo eti aliandamana halafu hajafa
asee we jamaa ni wa wapi? Maana nahisi hata mwalimu wako alipata shida kwelikweli ili kukuelewesha!! Nilipiga baadhi ya picha kwenye simu yangu ambayo ilipasuka kioo wakati nakimbia baada ya kuungana na wenzangu kwenda kwa mkuu wa wilaya ya Tarime halafu polisi wakatokea na kuanza kuturushia shaba! nimeyaona mengi sana kwenye maandamano mpaka kuna muda nilikuwa nikilala nayaota! ikiwa wewe ni mkazi wa tarime utanielewa vizuri! halafu keybody warior ni wewe na baba ako. pimbi wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…