Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,819
- 3,295
wewe hukuandamana ulikuwa unashangaa, wakati mimi nipo kitandani natype wewe ulikuwa dirishani unachungulia. wewe ni keyboard warrior mwenzangu tu umenizidi tu typing ya uongoasee we jamaa ni wa wapi? Maana nahisi hata mwalimu wako alipata shida kwelikweli ili kukuelewesha!! Nilipiga baadhi ya picha kwenye simu yangu ambayo ilipasuka kioo wakati nakimbia baada ya kuungana na wenzangu kwenda kwa mkuu wa wilaya ya Tarime halafu polisi wakatokea na kuanza kuturushia shaba! nimeyaona mengi sana kwenye maandamano mpaka kuna muda nilikuwa nikilala nayaota! ikiwa wewe ni mkazi wa tarime utanielewa vizuri! halafu keybody warior ni wewe na baba ako. pimbi wewe!
Atuvulie na vingineOhooo...
Hahaa
Hii punguani kama inafanya hospitali, ndio zilikuwa zinaita polisi kuja kumalizia waliopigwa risasi, ulaaniwe mpuuzi wewe supporter wa shetani SamiaKazi na utu tunasonga mbele 🔥🔥🔰
aisee mbona unalazimisha nikubali ujinga wako? Pimbi kama nyie ni mnatakiwa mnyongwe! Yaani nakuambia ukweli ila sababu wewe ni pimbi hautaki kuelewa! Hata hivyo what was i thinking! You are the old dog! I can't teach the old dog! Screw you stupid warthog!wewe hukuandamana ulikuwa unashangaa, wakati mimi nipo kitandani natype wewe ulikuwa dirishani unachungulia. wewe ni keyboard warrior mwenzangu tu umenizidi tu typing ya uongo
kidogo nisahau aisee, pimbi mwenyewe
ya kweli haya?Hii punguani kama inafanya hospitali, ndio zilikuwa zinaita polisi kuja kumalizia waliopigwa risasi, ulaaniwe mpuuzi wewe supporter wa shetani Samia
na wewe mbona unalazimisha nikubali uongo wako? hakuna mtu amewahi kwepa risasi acha kutupanga, eti ooh ilipigwa risasi nikasukumwa ikampata mtu wa nyuma unatuona maboya au sio, unajivika ushujaa nyuma ya keyboard uonekane mwambaaisee mbona unalazimisha nikubali ujinga wako? Pimbi kama nyie ni mnatakiwa mnyongwe! Yaani nakuambia ukweli ila sababu wewe ni pimbi hautaki kuelewa! Hata hivyo what was i thinking! You are the old dog! I can't teach the old dog! Screw you stupid warthog!
unaona ulivyo pimb? Yaani ni wapi nimesema nilihepa risas? Mimi nimesema nilisukumwa wakati nakimbia, nikaanguka then nikastukia risasi ikimpata wa mbele yangu! Na ndomaana nimesema nina bahati kutoka salama japo sio sana maana nina majeraha pamoja na trauma lefted on my mind! Pimbi kama wewe huwezi kuelewa! Hata ukieleweshwa mara buku 1!na wewe mbona unalazimisha nikubali uongo wako? hakuna mtu amewahi kwepa risasi acha kutupanga, eti ooh ilipigwa risasi nikasukumwa ikampata mtu wa nyuma unatuona maboya au sio, unajivika ushujaa nyuma ya keyboard uonekane mwamba
bila kusahau, pimbi mwenyewe
Astaghaffirullah..nitake radhi kwanza swilati .Hii punguani kama inafanya hospitali, ndio zilikuwa zinaita polisi kuja kumalizia waliopigwa risasi, ulaaniwe mpuuzi wewe supporter wa shetani Samia
Itakuwa aliandamana uvunguni mwa kitanda na demu wakeutofauti wako na mimi ni kuwa wewe umenizidi kwenye kujisifia nyuma ya keyboard. waliokufa pekee ndio walioandamana
Shammy- njoo umsikie huyu dogo eti aliandamana halafu hajafa
Ohoo usilishwe chuki nawe ukameza ..tema kabisa kipenziHuo utu wa kuuwa watu kaeni nao tu hatuutaki.
Ningekua sijaona maiti za watu ungesema ni chuki. Ila Dunia nzima imeonaOhoo usilishwe chuki nawe ukameza ..tema kabisa kipenzi
Sasa akuvulie nini kingine?Kofia tu haitoshi mkuu
Feminism haijaaribu akili za wanawake tu, kuna wanaume wengi pia wamearibiwa akili na feminism mfano huyo uliemjibu.as long as pimbi kama hizi zipo duniani, mwanaume yuko kwenye hatari ya kutoweka!! Yaani hauwezi kuuficha upimbi wako? Takataka kabisa.
Katika mahusiano ya mwanaumr na mwanamke ni eneo lipi ambalo limeimarika baada ya hayo mapambano dhidi ya mfumo dume?Nani huyo anadharau wanaume huko?
😂
Movement za ukombozi zote ni dhidi ya ukandamizaji na si jinsia, Mfumodume kwa kipindi kirefu umekandamiza haki za wanawake, hatuna bifu tunapinga ukandamizaji unaoweza kuleta bifu.
Avue wigiSasa akuvulie nini kingine?
Sasa ni nani kauwa hao watu?Ningekua sijaona maiti za watu ungesema ni chuki. Ila Dunia nzima imeona