Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Serikali haijui ila chaajabu majambazi wanawakamata .Sasa ni nani kauwa hao watu?
Aliewatuma kuua ndio ameua na unamjua nani aliewatuma wale wauajiSasa ni nani kauwa hao watu?
Itakuwa aliandamana uvunguni mwa kitanda na demu wake
Walioandamana wapo mwanandani ..
Wewe mama wewe. Yaani sisi ni dogs. Mungu anakuona ati.Hakuna binadabu anayepaswa kudharauliwa awe mwanaume au mwanamke, wanaume wanayo mazuri mengi tu kwenye jamii. Ila linapokuja suala la mapenzi na mahusiono ule msemo kwamba wanaume wote ni umbwa. Unabaki pale pale.
Mkuu hii komenti iishi milele tafadhali πππ―π―π―ππππKaka Rayns nimekucheki pm kimyaa na hujaniambia hapo mbeya shida nini nakumbuka uliniambia "SIASA SIO VITU VYAKO" ......
Mkuuu hii jeiefu kwangu haina maana kama wewe haupoππ
Yeah π― siasa sio vitu vyangu kabisa...nakumbuka uliniambia "SIASA SIO VITU VYAKO" ......
Tuko pamoja mkuuMkuu hii komenti iishi milele tafadhali πππ―π―π―ππππ