Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Leta ushahidi wakokuruani haijakataa mwanamke kuwa kiongozi ni uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi wakokuruani haijakataa mwanamke kuwa kiongozi ni uongo
Huwezi kunishinda kwa hili, Benazir Bhutto alipojiingiza kwenye harakati za siasa na kujaribu kutaka kutawala tu, kilimkuta nini?Pakistan, ni pure muslim state na Bi BHUTTO
Huyu POPOMA kashindwa kulitambua hili,Katiba ya nchi sio Quran, na nchi sio msikiti
Haviendani wala havihusiani
Anamlenga wa kwetu, unataka mfano gani?Talented fella charismatic gentamycine
Tupe mifano wa hizo nchi bila ya mifano ya hizo nchi huu uzi wako ni batili
ushaidi pleaseWewe mbona biblia na Qur'an zimekukataza kuzini lakini mbona unazini[emoji41]
vice versa is trueUna akili ndogo sanaaaa
Kwani Tz ni Nchi ya kiislamu mbona akili chache kijanaAnamlenga wa kwetu, unataka mfano gani?
Inawezekanavice versa is true
Benazir Bhutto mbona alishatawala Pakistan au wewe hujua siasa za kimataifa? 1988 alichaguliwa kiwa waziri mkuu hadi mwaka 1993, then akachaguliwa tena hadi mwaka 1998Huwezi kunishinda kwa hili, Benazir Bhutto alipojiingiza kwenye harakati za siasa na kujaribu kutaka kutawala tu, kilimkuta nini?
Aliuawa kwa kupigwa risasi ya shingo na mlipuko wa bomu juu eneo la Rawalpindi kwenye kampeni na Bilal akiagizwa na kundi la Taliban na Al Qaeda.
Wakisema hawataki na ukajitia kimbele mbele hawana cha kupoteza muda, ni AK 47 tu.
Je, hao Viongozi Waislamu Wanawake hawaheshimu Maandiko na wanakubali kuwa Viongozi?
Haya maandiko yapo tu sio yote yanatekelezwa , hatuwez kutumia kila mifumo ya maisha ya miaka ya 1600 iliyopita ,katika dunia hiii ya sayansi na teknolojia ,maisha ya sasa ni bora zaid kuliko hayo ya nyuma ,matumizi ya akili ni makubwa kuliko mabavu ya mwili , maandiko mengi watu wanayafuata kama unafki tu. Jiulize bwabwa moja apo zanzabar limefanya ujinga lipo tu , ila pita na nguruwe wa Mungu asie na hatia unaweza kuuliwa kabsa .
Herzegovina.nchi ipi ya kiislamu inaongozwa na mwanamke?
Pakistan, ni pure muslim state na Bi BHUTTO
Takwimu umezitoa wapi?pakistani ni kama tanzania ina waislamu wengi kuliko dini zingine ila pakistani ni nchi ya demokrasi
Nyingine ? Yaani itumia sharia katiba (Qur an)Herzegovina.
Kwanza acha uongo unamjua raisi wa nchi hyo ?Herzegovina.
Muongoz huyo usijibishane nae anatunga ili mradi tu 🤣nchi ipi ya kiislamu inaongozwa na mwanamke?