Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

Pakistan, ni pure muslim state na Bi BHUTTO
Huwezi kunishinda kwa hili, Benazir Bhutto alipojiingiza kwenye harakati za siasa na kujaribu kutaka kutawala tu, kilimkuta nini?

Aliuawa kwa kupigwa risasi ya shingo na mlipuko wa bomu juu eneo la Rawalpindi kwenye kampeni na Bilal akiagizwa na kundi la Taliban na Al Qaeda.

Wakisema hawataki na ukajitia kimbele mbele hawana cha kupoteza muda, ni AK 47 tu.
 
Talented fella charismatic gentamycine

Tupe mifano wa hizo nchi bila ya mifano ya hizo nchi huu uzi wako ni batili
Anamlenga wa kwetu, unataka mfano gani?
 
Kuna waislamu na waumini .Unaitwa Juma hussein lakin 24 hrs upo merridian bet , unacheki mipira ,unasikiliza nyimbo ,unazini ,una kunywa pombe basi uyo ni muislam .kuna Waumini (wenye Imani ) humuogopa mwenyezimungu na kufanya matendo mazuri na kumfurahisha muumba wa ardhi na mbingu sio yesu maana yesu akuumba Ardhi na mbingu
 
Huwezi kunishinda kwa hili, Benazir Bhutto alipojiingiza kwenye harakati za siasa na kujaribu kutaka kutawala tu, kilimkuta nini?

Aliuawa kwa kupigwa risasi ya shingo na mlipuko wa bomu juu eneo la Rawalpindi kwenye kampeni na Bilal akiagizwa na kundi la Taliban na Al Qaeda.

Wakisema hawataki na ukajitia kimbele mbele hawana cha kupoteza muda, ni AK 47 tu.
Benazir Bhutto mbona alishatawala Pakistan au wewe hujua siasa za kimataifa? 1988 alichaguliwa kiwa waziri mkuu hadi mwaka 1993, then akachaguliwa tena hadi mwaka 1998
 
Haya maandiko yapo tu sio yote yanatekelezwa , hatuwez kutumia kila mifumo ya maisha ya miaka ya 1600 iliyopita ,katika dunia hiii ya sayansi na teknolojia ,maisha ya sasa ni bora zaid kuliko hayo ya nyuma ,matumizi ya akili ni makubwa kuliko mabavu ya mwili , maandiko mengi watu wanayafuata kama unafki tu. Jiulize bwabwa moja apo zanzabar limefanya ujinga lipo tu , ila pita na nguruwe wa Mungu asie na hatia unaweza kuuliwa kabsa .

hata biblia imekataza nyama ya nguruwe
 
Herzegovina.
Kwanza acha uongo unamjua raisi wa nchi hyo ?

Punguza kutunga ili mradi udanganye watu! Haitakusaidia kitu kuwa smart then jadili mambo ya msingi ya kuleta maendeleo .

Daily waislamu mara sijui chuo kilichoungua yaani unafuatilia mambo wewe hayakuhusu kabisa..

Haileti maana fanya Yale wa kwenu maana unayajua haya wa waislamu utapata aibu ty maana hauna unachojua.

Ni ushauri tu!
 
Back
Top Bottom