Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Yote mawili mkuu. Wewe unaona kilichofanyika ni sawa? Unataka nchi hii iendelee kusukwasukwa hadi lini?
 
Yote mawili mkuu. Wewe unaona kilichofanyika ni sawa? Unataka nchi hii iendelee kusukwasukwa hadi lini?
Mimi sipo huko kwa ma - CCM. Na kwa hiyo, swali lako halinihusu hata niseme ndiyo hivyo au siyo hivyo...

Na kwako wewe iko hivi...

Yote mawili hayawezi kuwa sahani moja kwa sababu hayawiani...

Ni aidha ukubali kuwa utaratibu wa kikatiba wa chama chenu wa "nyie nyumbu wa kijani" kushitukizwa tu ndani ya ukumbi kumpitisha Bi Chura Kiziwi kuwa ndiye mgombea wa u - Rais pembeni akiwemo Nchimbi ulikiukwa hata kama utaratibu huohuo ulio kinyume cha katiba ungetumika kumpitisha mgombea unayemtaka wewe Kassim Majaliwa au ukubali kuwa wewe ni mnafiki unayeona utaratibu fulani hauifai kwa huyu lakini kwa huyu unafaa...

Chagua Moja Ili uondoe dhana ya unafiki na u - Kalumekenge kwa kuwa na ndimi mbili kwa jambo unalopaswa kuchagua uelekeo mmoja tu..
 
Umeandika takataka
 
Hivi inakuwaje raia kutoka Pemba anateuliwa kuwa RAS wa mkoa hapa Tanganyika? Hata Magufuli alikuwa dikteta lakini hatujawahi kushuhudia akifanya ubaguzi kama huu.
Mkuu wewe ndiye unahubiri ubaguzi, ni vema ungemshauri atafute suluhisho la wabara kutopewa nafasi visiwani
 
Ukiacha hayo macho yako yanavyoona. Ngoja nikupe jicho la tatu. Rais akiwa muislamu bakwata makamu anakuwa mkristo mkatoliki. Na Rais akiwa mkristo mkatoliki makamu anakuwa muislamu bakwata. Hutaki ckulazimishi
Acheni kulitetea hilo jitu lenu,mbona Enzi za kikwete alikua muislamu na Makamu wake Shein na Gharib walikua waislamu pia?
 
Nyerere aliwahi kusema "mkishamaliza kuwafukuza wewe mpembabmtagundua kumbe hakuna mtanganyika mtaanza kuwafukuza Hawa wachaga mwisho mtagundua Kuna wazanzibari na wazanzibari" RIP Mwalimu

Huu ujinga ambao utawala huu umefanya hadi kutuletea wapemba hapa Tanganyika kuchukua nafasi za watanganyika utakuja kuleta machafuko na lawama zote zitamrudia Sa100.
 
Sasa kama kuna mbaguzi mkubwa basi ni wewe ndio maana unaandika lugha ya eti wapemba,wapemba ni akina nani? hao ni wazanzibari ambao ni watanzania,pia kumbuka kuwa kuna kero za muungani ambazo kwa sasa zimetatuliwa sana moja walo ni utezi wa wazanzibari kwenye vyeo vya muungano.Eti kuhusu kumbagua majaaliwa sio kweli,kila mtu humchagua makamu amtakaye.Nchimbi ni mtoto wa ccm,na mtoto akikunyea utamkata mkono? mtoto akikosea husamehewa maana ipo siku atakusaidia huko mbeleni,hata wewe mtoto wako akikosea hutamsamehe?.Kuhusu katiba yenu ya ccm hakuna iliposiginwa,waliifata jinsi inavyosema,labda kama wewe sio ccm bali ni pandikizi lisilojua mamlaka ya mkutano mkuu ni nini
 
Endelea kuwaamsha Watanganyika wamelala sana
 
Ukiacha hayo macho yako yanavyoona. Ngoja nikupe jicho la tatu. Rais akiwa muislamu bakwata makamu anakuwa mkristo mkatoliki. Na Rais akiwa mkristo mkatoliki makamu anakuwa muislamu bakwata. Hutaki ckulazimishi
Makamu wakati wa kikwete alikuwa dini gani ili huu upotoshaji wako usudumu muda mrefu humu?
 
Hukitakii mema chama wewe! Yaani Rais muislam na Makamu wake? Hiyo kampeni msingeiweza!
 
Wapemba wasenge sana tu, mkiwa Tanganyika huku mnataka favour ila watanganyika wakija Zanzibar mnawachukulia kama watalii tu😎 hawana haki yoyote mnawaita machogo.
 
Inasikitisha kwamba ulikuwa ukumbini wakati Mwenyekiti akiuliza kwamba kuna anayepinga azimio hilo ila ukakalisha matako chini badala ya kusimama na kumpa makavu yake laivu. Leo unakuja humu kibabe kujifanya hujakubaliana na yaliofanywa ukumbini kama si uzwazwa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…