Sasa kama kuna mbaguzi mkubwa basi ni eewe ndio maana unaandika lugha ya eti wapemba,wapemba ni akina nani? hao ni wazanzibari ambao ni watanzania,pia kumbuka kuwa kuna kero za muungani ambazo kwa sasa zimetatuliwa sana moja walo ni utezi wa wazanzibari kwenye vyeo vya muungano.Eti kuhusu kumbagua majaaliwa sio kweli,kila mtu humchagua makamu amtakaye.Nchimbi ni mtoto wa ccm,na mtoto akikunyea utamkata mkono? mtoto akikosea husamehewa maana ipo siku atakusaidia huko mbeleni,hata wewe mtoto wako akikosea hutamsamehe?.Kuhusu katiba yenu ya ccm hakuna iliposiginwa,waliifata jinsi inavyosema,labda kama wewe sio ccm bali ni pandikizi lisilojua mamlaka ya mkutano mkuu ni nini