Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM stands to be the best president ever in Tanzania as he was really concerned with the citizens' hardship striving to ensure the basic needs sufficed making peace of mind a significant motivational factor to uphold tranquility as opposed to what is happening today.Mazuri yake ni mengi kwangu kuliko mabaya
Obtuse reactionsukuma gang kumbe bado mpo
*JPM's visible work shall prevail on the soil for ages; he played his part within a short time that troubles his rival critics to date. whilst the citizens commemorate his heroic and confident decision for the nation against the politicians' interests.Tatizo kuu "Alijenga nchi badala ya Taifa" de'levis!
Jamaa alijificha KWA kabila kubwa Ili kupitisha ajenda zake!hasa Asili take ije kuwa dominant Baadae angelisaliti hata hilo kabila kubwa KWA kuwapa Asili take kipaumbele zaidi!
Inasemekana Asili yake ni mpakani na kigoma!ndio Hiyo Inge take over Halafu kabila kubwa wangetaharuki!!
Mzee chenge alishtuka NASIKIA alisikika "hakuna msukuma wa HIVI" ikala kwake na ubunge ikawa tamati!!
Cha msingi katiba mpya ipatikane Ili ajaye asiharibu!!
Hata Asili yake ikiwa ya ethiopia hatoharibu coz DOLA itatumia katiba kumuingilia na kumuondoa KWA maslahi mapana ya Taifa!
"We don't underrate his performance but we insist a new book should be written for the Future regimes not to go beyond threshold for sustainance of our nation"*JPM's visible work shall prevail on the soil for ages; he played his part within a short time that troubles his rival critics to date. whilst the citizens commemorate his heroic and confident decision for the nation against the politicians' interests.
You are right but do not undermine JPM's quality performance delivery and give the rating to someone allowing the crooks to exploit the resources hiding behind the unrealistic 4Rs."We don't underrate his performance but we insist a new book should be written for the Future regimes not to go beyond threshold for sustainance of our nation"
Viajana wawekeze kwenye uzalishaj. Pakiwa na Sheria Kali na MTU Mmoja anayezisimamia basi tutaweza kuvuka.Nchi inatakiwa kuwa na mfumo wa kuwawajibisha viongozi pale wanapokosea. Mtu mmoja hawezi kufuatilia kila mtu.
Hatuhitaji wazee waliovuka miaka sabini warudi tena kuongoza, tunapaswa kuwajengea vijana uwezo kwa kuwapa fursa.
Haya mawazo sio sahihi, tunahitaji mfumo ambao kila mtu anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na anaweza kuwajibishwa kwa kufuata sheria hizohizo. Huo ndio msingi wa utawala bora.Viajana wawekeze kwenye uzalishaj. Pakiwa na Sheria Kali na MTU Mmoja anayezisimamia basi tutaweza kuvuka.
Mifumo bila usimamizi ni KAZI Bure.
Watapeleka Sheria haraka Bungeni na kubadili SHERIA na kujipa uhalali Wa kufuja Mali za umma.
Lazima atokee mwanajeshi mmoja au kichwa kibovu kama Bashite kiwanyooshe wakorofi.
MTU ameiiba bilion 30 halafu unampeleka mahakamani na kuwaachia mahakimu ambao hawajawahi kupata mil 50. HUKU Wakiwa chini ya polisi ambaye akistaafu zapati Hata mil. 40 halafu utegemee vitendo vya wizi Wa malli za umma kudhibitiwa na mifumo. Lazima pawe na MTU ambaye atafuatilia na kubaini ukweli wote na kutaifisha Mali zote za mwizi na ikiwezekana apigwe risasi ya kichwa.
Bila Sheria ya kuwamwaga Mavi Mafisadi tutakua tunachezeana Akili tu na kubadili Mafisadi kwenye uongozi na vama kama Kenya.
Sheria zinasimamiwa na watu wenye njaa kuliko Wahalifu.
Hivi mnaona dar slam ndiyo Tanzania nzima? Yaani maji yakose dar basi wote tulie kuna maeneo umeme unakatika kwa nadra sana, yaani mtu unaweza kumaliza hata miezi miwili umeme hujawahi kukatika hata siku moja, ikitokea ukakata hata dk haiwezi kuisha umesharudi, kuna maeneo tangu dunia iumbwe hayajawahi kuona umeme, kuna watu unaposema internet haelewi unazungumzia nini, kuna jamii vizazi na vizazi hawajawahi kutegemea ajira za serikali.....kuna maeneo mtu hajawahi kuona ukame au ukosefu wa maji uliokithiri yaani kuna mito , madimbwi na mvua zinapiga kwa wakati kila mwaka..... hivyo hoja zako si nzito kiasi kumfanya Rais wa Taifa zima kujiondoa madarakani bali uanze na viongozi wa ngazi za chini ambao wanaishia kwenye eneo ambalo lina changamoto hizo
Mbona huyaorodheshi hayo mabaya nami nikuorodheshee yale mazuri? Msitafute pa kujifichia, mlianza kwa kusingizia covid 19, ikaja vita ya Ucraine na sasa mmekuja na sababu za mabadiliko ya tabia nchi.Hakuna awamu iliyofanya mabaya ya kutisha kama awamu ya tano.
Sio kuwa wakulima Wana enjoy kupanda kwa bei ya mazao,Heri ya leo Wakulima wana enjoy bei ya mazao imepanda.
Duh raisi ajiuzulu kwa vifurushi vya internet? kwamba watanzania wote maisha yao yanategemea internet ama mm sijaelewa?
ajira na mitaji.... kama serikali iliyopita ilshindwa na kuacha kabisa kuajiri watu kwa miaka yote mitano lazima pawe na tatizo la ajira tu
wabunge wasio na chama (nawachukia maana nilichanga pesa yangu ili watoke jela) magufuli aliiba uchaguzi 2021 mpaka akapitiliza wale walipelekwa bungeni na ndugai kwa maagizo ya mkubwa wake
Sina lengo la kumtetea yeyote
Na Bado mikopo, trilion 4 ndani ya wikiUmeona kipengele kimoja tu?
Haya tetea na upuuzi mwingine mwingi unaofanywa na serikali yako
Maji
Umeme
Maafa
Mikopo ya elimu
Katiba
Ufisadi
Mauaji
Inflation
Mjibie
Ndugai alishatuonya juu yake, tukamkebehi, leo tunashangaa maajabu ya kukopa kama VikobaOngeza kukosefu wa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu! Itasababisha dada zetu wengi kujiuza wakiwa vyuoni! Huyu mama kashafeli tokea anaanza alikuwa na mihemko sana kana kwamba anaenda kuongoza Saccos!
Ndugai, hakuna kitu nachukia kama mikopo , hasa ya Riba, tena mikopo inapelekwa mkoa mmoja ila deni ni la nchi nzimaTumuweke nani toa pendekezo kabisa
HawajitambuiNa Bado mikopo, trilion 4 ndani ya wiki
Kutokua internet ni nini sio sifa nzuri, infact hiyo ni sababu nyingine kwanini ajiuzuluHivi mnaona dar slam ndiyo Tanzania nzima? Yaani maji yakose dar basi wote tulie kuna maeneo umeme unakatika kwa nadra sana, yaani mtu unaweza kumaliza hata miezi miwili umeme hujawahi kukatika hata siku moja, ikitokea ukakata hata dk haiwezi kuisha umesharudi, kuna maeneo tangu dunia iumbwe hayajawahi kuona umeme, kuna watu unaposema internet haelewi unazungumzia nini, kuna jamii vizazi na vizazi hawajawahi kutegemea ajira za serikali.....kuna maeneo mtu hajawahi kuona ukame au ukosefu wa maji uliokithiri yaani kuna mito , madimbwi na mvua zinapiga kwa wakati kila mwaka..... hivyo hoja zako si nzito kiasi kumfanya Rais wa Taifa zima kujiondoa madarakani bali uanze na viongozi wa ngazi za chini ambao wanaishia kwenye eneo ambalo lina changamoto hizo