Hongera sana kwake.....alishe mume na wajukuu.....angesonga ugali kabisa sio mchemsho hiyoooWale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
Uko shallow sana.Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Uko sahihiUko shallow sana.
Ndio nakuuliza brain inakuwaje Empty sasa? Au unafikiri ni bakuri lile?You are right
Empty mindNdio nakuuliza brain inakuwaje Empty sasa? Au unafikiri ni bakuri lile?
Sio Empty brain tena😂😂.Empty mind
Huruma ya nini?Nimeona huruma sana jamani...
hasa hapo aliposema sijaweka ndimu subiri....
Sijui hata...Huruma ya nini?
Ila Bibi anavituko huyu hadi jikoni anajirekodi.Sijui hata...
Muache bana..mumchambe kwny mambo yanayohusu serikali mambo yake ya kupika mahunjumati ni nje ya kazi...😃😃Ila Bibi anavituko huyu hadi jikoni anajirekodi.
It’s not presidential stuff
Keep calm and enjoy mapishi ya MamaSio Empty brain tena😂😂.
Kuwa na msimamo mzee utageuka ohooo.Mishale ipo imekosekana kifaa chake tuuu
Hiyo ni sifa ya mwanamke aliyekamilika na anaejitambua.Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
Ila Bibi anavituko huyu hadi jikoni anajirekodi.
It’s not presidential stuff
Keep calm and enjoy mapishi ya Mama
Sawa UpindeKuna maisha nje ya kazi kilaza wewe