Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Walifeli sababu hawakupata support ya vyombo vya usalama na jeshi.Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,
Wakenya walipata sapoti ya Media,
Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,
Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,
Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.
Japo wakenya walitoka kwa umoja, wakapambana na polisi na kufanikisha maandamano makubwa kuwahi kutokea Afrika mashariki bado wameshindwa kumtoa Ruto madarakani na ni raisi mpaka leo.
Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?
View attachment 3516262
Usitufananishe na KENYA, wao wametuzidi hatua nyingi kwenye haya maswala.Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?
Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,
Wakenya walipata sapoti ya Media,
Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,
Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,
Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.
Japo wakenya walitoka kwa umoja, wakapambana na polisi na kufanikisha maandamano makubwa kuwahi kutokea Afrika mashariki bado wameshindwa kumtoa Ruto madarakani na ni raisi mpaka leo.
Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?
View attachment 3516262
Kenya hawacheki na mtu π π hii ilikua lini?
Kwanini mtu auliwe au kupewa ulemavu kwenye maandamano wakati ana haki ya kikatiba ya kukusanyika na kujieleza.In business we say , you don't paid what you deserve but you paid what you negotiate.
Kabla haujaamua kuandamana fikiria matokeo na sio kuamini kuwa ur so exceptional .
Kuna kuuliwa
Kuna kukamatwa
Kuna kupewa ulemavu
Kuna kuwekwa kizuizini.
So if you can't pay the price don't dive on this shit !
Sio jeshi security agency zoteHaiwezekani.As far as jeshi lipo na Samuya.
Jeshi lazima liwe na sababu ya kufanya hivyo.Walifeli sababu hawakupata support ya vyombo vya usalama na jeshi.
It will be the same story in Tanzania, unless jeshi liamue kua upande wa wananchi.
Kwanini mtu auliwe au kupewa ulemavu kwenye maandamano wakati ana haki ya kikatiba ya kukusanyika na kujieleza.
Maandamano yapo Kikatiba na matokeo yake hayawezi kuwa hayo uliyoyaorodheshaIn business we say , you don't paid what you deserve but you paid what you negotiate.
Kabla haujaamua kuandamana fikiria matokeo na sio kuamini kuwa ur so exceptional .
Kuna kuuliwa
Kuna kukamatwa
Kuna kupewa ulemavu
Kuna kuwekwa kizuizini.
So if you can't pay the price don't dive on this shit !
Ili elimu iendelee kuwepo lazima tutofautiane mitazamo.secretarybird said na wewe umeanza kupewa zile 7,000 na kambi ya kijani
Maandamano yapo Kikatiba na matokeo yake hayawezi kuwa hayo uliyoyaorodhesha
Usiichafue serikali yenu
Kumbe ndege naye yupo kwenye payroll π πsecretarybird said na wewe umeanza kupewa zile 7,000 na kambi ya kijani π π
FACTSHaiwezekani.As far as jeshi lipo na Samuya.
Huku Tz tumeambulia kuundiwa tume na misuto juu πWakenya angalau walipozwa kwa baadhi ya matakwa yao kutimizwa, sisi huku tunasutwa πππ
Anyway Gen z njia pekee yenye uhakika ni kuingia msituni.
Umenena vyema mkuuMimi huwa nawaambia hasa the younger generation
Kuwa ni hatari kushindwa Ku- Calculate ur next move that is hell
Haki yako Kama haujui njia za kuidai Ila unafata mkumbo ujue utauliwa , kupewa ulemavu n.k
Hapa Africa lazima ujilinde sisi hatujafika viwango hivyo mnaona ulaya kuwa watu mnaweza mkaandamana na mkalindwa .
Kwahiyo tuliwapa tahadhari kuwa mtauliwa vibaya Sana
Ila mkasema jeshi kitawalinda
Guess what ...
Umenena vyema mkuu
Jeshi linaingilia tu kukiwa na tishio kubwa la usalama wa raia na si vinginevyo mfano:
Sudan.
Polisi walishindwa kudhibiti maandamano, jeshi likaingilia kati likisema linalinda raia.
Likamtoa rais, likapata uungwaji mkono wa wananchi, kisha likabaki na nguvu bila mbinu za kuongoza
Raia wakaanza kulidai jeshi uwajibikaji, jeshi likaamua kuchukua madaraka 2021.
Mwisho wake, vita vya ndani vikaanza 2023 na nchi ikavunjika huku raia wakilaumu sana Jeshi kurudia makosa ya aliyepinduliwa.
Jeshi likiingilia maandamano, siyo kutatua tatizo bali kubadilisha tatizo.
Au Bukina Faso; Raisi kijana, Anapinga ufaransa , watu wanachekelea kwasababu ya hasira zao za ndani dhidi ya France ila ukweli ni kwamba nguvu ya jeshi bado ndiyo msingi na siyo matakwa ya wananchi, mwisho wananchi wataligeukia tena Jeshi baada ya kuona hawapati walichotarajia kama ilivyotokea Libya na Myanmar.
Mfumo hauangalii kama ni jeshi limechukua nchi au rais amebadilishwa; mfumo unaangalia mbinu za kiongozi na uwezo wa kudhibiti hali.
Mfano kwenye soka, kocha anaweza kumbadilisha mchezaji, au kutumia formation tofauti, lengo ni ushindi, hivyo hivyo kwenye mfumo wa taifa.
Mfumo hufuata ufanisi wa kiongozi na siyo nani anayeongoza.
Ndiyo.Hongera watu Kama nyie JF mmebaki wachache
Mimi niliwahi kuwaambia TATIZO LA nchi yetu sio CCM Ila MFUMO
mfano ile 29/10 CCM was nothing Ila JWTZ , POLICE n.k
Wao ndo Kama walikuwa wakiongoza nchi
Guess what !!