Arya Stark
Senior Member
- Dec 1, 2025
- 147
- 253
- Thread starter
-
- #61
Kuwaua si ndio itaongeza tatizo maana itaonekana Gen Z wana lengo la kuharibu nchi na hawaogopi kuua viongozi.Dawa hapa nikuwaua tu mmoja mmoja ,gonga vyuma one by one hadi waweke mpira kati , huu Us3ng3 wa kubembelezana tunapoteza muda tu 👺
Hapo ndo changamoto maana hapo sio kudeal na mtu mmoja kama sisi tunavofanyaTutafanyaje sasa 😔 😔
Kwani serikali yenu ni safi?Maandamano yapo Kikatiba na matokeo yake hayawezi kuwa hayo uliyoyaorodhesha
Usiichafue serikali yenu
Duuh, kwahiyo hilo haliwezekani, tusijisumbueWaombe mengine ila hilo la Samia must go ni kujilisha upepo na kutaka vita tu.
Sio poa 😔 😢😭Shida ukishapewa jina muhalifu au muhuni wanawesa kuua watu
Wale hawakuitwa waandamanaji waliitwa wahuni this is why tulipoteza ndugu zetu sana
Sawa tutamuacha, naona hakuna namna ya kushindaMbona kwa magufuli mlidhindwa. Mange alianzisha movement ya Magufuli must go ikafeli. Muache mama wa watu apige kazi
True, lakini haujajibu swali langu, sisi tutafanya nini cha tofauti?Tanzania siyo Kenya, kila nchi ina uniqueness yake. Hapo unapoleta mfano wa Kenya vipi mwingine akikuletea mfano wa Madagascar au wa Nepal au wa Mexico? Kinachotokea nchi moja si lazima kitokee nchi nyingine, we're all going through different ordeals and so we tackle them differently.
Hapana hapana!secretarybird said na wewe umeanza kupewa zile 7,000 na kambi ya kijani 😅 😅
Sio poa 😔 😢😭
Daaah aiseee🙆🙆Hapana hapana!
Japo machawa wananihonga vinyeo vyao vya moto ila Mimi sitabadili msimamo. Nawala na naendelea na kampeni ya 'Samia must go'.
Hapana mkuu, mi sipo bhana!Kumbe ndege naye yupo kwenye payroll 😅😅
Bro secretarybird niunganishe hata kufuta makabrasha hapo Lumumba nitoke huku viwandani buku 4 per day 😅😅
Simple like that 😎.Daaah aiseee🙆🙆
🤣 🤣 una ufala mwingi sana 🤣🤣🤣Hapana hapana!
Japo machawa wananihonga vinyeo vyao vya moto ila Mimi sitabadili msimamo. Nawala na naendelea na kampeni ya 'Samia must go'.
Hahaha 😂.🤣 🤣 una ufala mwingi sana 🤣🤣🤣
Yaani hao dawa ni kuwagombanisha tu.wavurugane kisawa sawa,.Uhalisia ndo huu hapa ni kujaribu kukaza TU, tuone itakuwaje maana ishakuwa nongwa sasa
Hapa mizizi yao ishajishika vizuri kwenye ardhi ya Tanganyika thus why iko hivo
Kuna msemo(tafsiri isiyo rasmi) tutavuka daraja tutakapofika, itategemea tukifika darajani tutakuta daraja la aina gani. Mbinu za kutumika hutegemea aina ya mazingira when the opportunity arises.True, lakini haujajibu swali langu, sisi tutafanya nini cha tofauti?
Hizo nchi nyingine ulizotaja walikua na support ya jeshi au militia groups!
Good point but how can it be successfulYaani hao dawa ni kuwagombanisha tu.wavurugane kisawa sawa,.
Waanze kuumizana wao kwa wao lazima wawe weak nd ndo itakua rahisi kuiondoa ccm madarakani, na uzuri wameshaanza kuvurugana so there’s hope.
Siwezi hata kukuchukulia serious bila kucheka, daaahh 🤣 😅Hahaha 😂.
Mambo vipi lakini?
😂 Tarehe 25 uko tayari kumtoa chura kiziwi au utaendelea na sikukuu?Siwezi hata kukuchukulia serious bila kucheka, daaahh 🤣 😅
Mambo poa!