Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

SAmia anawapinzan ndan ya ccm wako weng na wazoefu ndio maana unasikia polepole mara gwajima mara mwambe hao jamaa hawajawai kushindwa wakitaka jambo lao so ni vita ya wakunwa kwa wakubwa wananch ni chambo tu so itafanikiwa na samia atakumbana na kifo au jera
 
Subiri muone mziki
Duniani karibia maeneo mengi patachafuka ni suala la muda tu

NYAKATI ZILIZOTABIRIWA NDIO HIZI
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Mtu kauza rasilimali karibu zote nchini huyu si tishio?, kauza/kataifisha mashirika ya taifa na bandari zote ambazo kiuhalisia ni lango la nchi, je hili sio tishio?.

Mtu anakwapua mabilioni ya pesa za walipa kodi na kuzitumia kinyume na taratibu je hili si tishio kwa anguko la nchi?.

Mtu kapoteza mamia/maelfu ya raia wake mwenyewe na kubambikiza makosa ya uongo nje ya mahakama je hili si tishio?.

Mtu anagawa hovyo vyeo nyeti ktk serikali kwa watu wasio na uadilifu je hili si tishio?.

Mtu anaingia mikataba ya HOVYO nje ya bunge kisiri na baadae akigunduliwa anaforce kusaini, je hili si tishio?.

Mtu kakataliwa na raia wake karibu 90%, lkn maajabu kaforce kuongoza kwa kutoa maisha ya maelfu ya watu je hili si tishio?, ninyi wenzetu tishio la usalama wa taifa huwa mnalitafsiri kwa kuvamiwa na wageni pekee?, hamuoni kuwa shida ikianzia ndani, basi hata wa nje anamalizia tu?, kwanini msitatue chanzo cha tatizo ambacho kimeanzia ndani mnasubiri matokeo ndio mudeal nayo, hii ni akili au UTINDIO WA UBONGO.

mkubali mkatae, uongozi wa huyu mwanamke mpumbavu, umeharibu taswira ya nchi kimataifa, umeharibu maendeleo na mustakabali wa nchi, yaani kiufupi jeshi na vyombo vyote vya kiusalama ilitakiwa viungane kuuondoa huu utawala HARAMU wa ibilisi SAMIA SULUHU HASSAN na magenge yake.

Mnaomtetea huyu fisadi mna mioyo migumu sana
 
Una ushahidi ? Kama unao weka hapa
 
 
Cc

Ccm is there to stay
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kuanzia sasa inatakiwa iiweke kwenye list ya terrorist organization.
 

Kosa lako la kwanza umechanganya hasira na lugha chafu kwenye hoja nzuri hivyo umejithibitishia mwenyewe kuwa hoja zako hazijajengwa kimantiki bali kihisia.
Na mimi sijadili mihemko, najadili hoja.

Kosa lako la pili unanituhumu kutetea ufisadi na mfumo mbovu bila kuquote mahala ambako nimesema hivyo.
Huo ni uzembe wa kufikiri.

Tatu, hujanielewa.
Sijasema jeshi lichukue nchi wala sioni kama hilo ni suluhisho la kudumu. Usinipachikie hoja ambazo sijasema.

Ukisoma post zangu ndani ya uzi huu nimezungumza kwamba suluhisho la kweli ni kubadili mfumo mzima (katiba), na hilo pekee halitatosha kama hatutachagua na kiongozi thabiti, mtashi, na mwenye uwezo wa kudhibiti mfumo.

Nne, mimi ninaunga mkono maandamano ya kimkakati na siyo maandamano ya uharibifu wa mali,
Uharibifu wa mali hauufanyi mfumo dhaifu uanguke, bali unaupa mfumo dhaifu uhalali wa kutumia nguvu ya kudhibiti wananchi.
Mwisho wa siku, mfumo dhaifu utaendelea kupeta kwa kisingizio cha “walikuwa wanaharibu mali za watu ndiyo maana tukawazuia”.

Maandamano yenye nidhamu:
-Hufuata sheria.
-Huunyima mfumo dhaifu kisingizio cha “Tunalinda amani”.
-Huilazimisha dola kubaki kimya bila hoja za kujitetea.

Hasira za wananchi sio mkakati, na vurugu sio suluhisho la kweli.

Angalia Chile mwaka 88,
Poland 89 na
Tunisia 2011,
Maandamano ya amani, Shinikizo kubwa, hakuna uharibifu, badiliko la katiba + kuchagua viongozi watashi, Mfumo dhaifu ukakosa kiteteo mwisho walipata matokeo safi.

Linganisha na Libya, Syria, Yemen, na Sudan.
Maandamano yasiyo ya kimkakati kama yale ya october, vurugu, uharibifu wa mali na jeshi kuingilia kati.
Matokeo yake tunayaona, hizo ndiyo nchi ambazo hazina amani hadi leo na mifumo yao bado haijarekebishwa.

Elewa kwamba hata kama jeshi likichukua nchi, bila kubadilisha mfumo (katiba) na bila kuwa na uongozi bora, hakuna kitakachobadilika.

Raia wataendelea kudai maslahi yao kwa jeshi, migogoro itaendelea, na mzunguko wa matatizo hautaisha.

Mtaelewa lini mambo haya.
Nachoka sasa baba yenu.
Ibn Unuq.
 

What you reveal you can heal MKUU

Tuliwaambia don't send this younger generation barabaran kwakuwa mazingira hayupo salama

Mkasema sisi ni chawa
 
What you reveal you can heal MKUU

Tuliwaambia don't send this younger generation barabaran kwakuwa mazingira hayupo salama

Mkasema sisi ni chawa

There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 

There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
What you reveal you can heal MKUU

Tuliwaambia don't send this younger generation barabaran kwakuwa mazingira hayupo salama

Mkasema sisi ni chawa
Kwahiyo hukumu yao ni kuwafanyia genocide????,
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 

Tuliwaambia nyie mliokuwa mnahamasisha maandamano na kutoa wrong information ndo mnabidi kushtakiwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…