Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Naomba nikurekebishe kidogo, Saudia na huku tulianza kufunga pamoja.Kikubwa si kuhesabu siku tu,saudia Kama wao walianza kufunga siku moja kabla ya uku ,inamaana wao mwenzi uliwahi kutoka na siku 30 tayari ,na uku kesho siku 29,simple tu au inakuaje
Basi Apo Kuna tatizoNaomba nikurekebishe kidogo, Saudia na huku tulianza kufunga pamoja.
Ulaya wanatumia darubini kuuchungulia mwezi, bongo tunatumia macho ndomana kila siku tunaachwa nyuma.
OMAN, wao majirani kabisa wa Saudi Arabia wao Eid yao iko Jumamosi, India, Indonesia, Iraq, Iran nako huko ni Jmosi.
Nchi nyingi Eid ni Jmosi na sio Leo hii IJUMAA
Rwanda hakuna waislamu.Kwahiyo Rwanda, Kenya na Uganda ni ulaya🙄🙄
Hao hawajishughulishi na macho wa darubini, Ila huvizia atakachosema mtumia darubini nao hucheza mule mule.Kwahiyo Rwanda, Kenya na Uganda ni ulaya🙄🙄
Rwanda hakuna waislamu.
Wapo Burundi kidogo.
Hiyo sio synonyms tunaita Homographs Mkuu.Ha ha ha! Lugha zote zina synonyms usiwe mjinga.
Na dunia ni moja ,dini moja na umma mmoja na Ulaaama wanasema Idd ni moja....Mwezi haundami mara mbili ni mara moja
Acha kupotosha watu na muogope mola wako katika maisha Yako jitaidi kutafuta ukweli Kwa kusoma na kujifunza haiwezekan Dunia nzima waseme ni nyeupe halafu ww peke Yako n kund la watu wako mseme ni nyeusi Kuna calendar za kiislamu Leo ni mwez mwingine shawaal sio Ramadhan na kumbuka sis tumepokea tu dini imeanzia huko uarabun usitake kusema unajua dini kuliko walio kuletea ingekuwa Iran wametangaz, tungesema ni shia ila ni saudia waislam wenzetuWatu wanasema mambo ambayo hawayaelewi. Uislamu ni dini ya kanuni na kanuni zake ni kitabu Qur'an na Sunna yaani mwenendo wa mtume. Hakuna kufuata nchi hata kama ni saudia. Ikiwa wanachokifanya ni tofauti na kitabu na sunna basi tunafuata kanuni sio nchi.
... synonyms maneno yenye maana sawa; homographs maneno yenye matamshi yanayofanana! You're absolutely right! Thank you.Hiyo sio synonyms tunaita Homographs Mkuu.
Huu mwez cjui kwann ubaibagua Tanzania pekee miaka yote!! Daah very strange...Kama Mwezi haujaonekana Tanzania then? Hakuna wa kumlaumu; utaratibu uko very clear.
Vipi kama mtu ni kipofu?Imeamdikwa funga na fungua uonapo mwezi, sio fungua ukisikia muandamo wa mwezi. Full stop