Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mwezi mmekuwa wanawake na hedhi
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi mmekuwa wanawake na hedhi
USSR
Spelled the same but they have different meaning.... synonyms maneno yenye maana sawa; homographs maneno yenye matamshi yanayofanana! You're absolutely right! Thank you.
Shia sio waislam?Acha kupotosha watu na muogope mola wako katika maisha Yako jitaidi kutafuta ukweli Kwa kusoma na kujifunza haiwezekan Dunia nzima waseme ni nyeupe halafu ww peke Yako n kund la watu wako mseme ni nyeusi Kuna calendar za kiislamu Leo ni mwez mwingine shawaal sio Ramadhan na kumbuka sis tumepokea tu dini imeanzia huko uarabun usitake kusema unajua dini kuliko walio kuletea ingekuwa Iran wametangaz, tungesema ni shia ila ni saudia waislam wenzetu
Haya mambo ya mitandao siku hizi kila mtu anajifanya mtaalamu, hizi tofauti hazijaanza juzi wala jana.
Hujakwatazwa kuhoji ila kwa elimu ipi? Sasa hivi kwa sababu mtu anaweza kuona kwenye mtandao nchi fulani wametangaza kuona mwezi basi nae anakuja kuhoji kisa tu kaona kwenye mtandao.Unataka watu wasihoji? Wakae kimya tu?
SiasaKila mwaka Tanzania ndio wa mwisho kuona mwezi. BAKWATA kuna namna.
Nadhani Sasa hivi mitandao imeturahisishia kupatikana Kwa taarifa mkuu tofauti na zamani , endapo nchi jirani wametangaza kuuona mwezi Kwa Nini sisi tusikubaliane nao wakati ni ukanda mmoja hata hivyo mwezi huandama mara moja tu , hata ukiangalia Leo calendar ya kiislam inaonyesha Leo ni tarehe moja shawar ,Hujakwatazwa kuhoji ila kwa elimu ipi? Sasa hivi kwa sababu mtu anaweza kuona kwenye mtandao nchi fulani wametangaza kuona mwezi basi nae anakuja kuhoji kisa tu kaona kwenye mtandao.
... correct; confused with homophones! Haya mambo wengine tunalazimisha tu.Spelled the same but they have different meaning.
Minute can mean time /60 seconds or can mean a small thing or of little importance.
... nadhani Tanzania iko slightly far from its path! Astronomers watatusaidia.Huu mwez cjui kwann ubaibagua Tanzania pekee miaka yote!! Daah very strange...
hawa wa kesho ni Bakwata ni wa serikali na wanaoitii serikali kiuhalisia leo ndo sikukuu ya Idd.Uganda ni majirani zetu na wametangaza Eid ni kesho; lakini pia Uarabuni napo Eid ni kesho.
Kwanini Tanzania wamepanga iwe Jumamosi?
Kuna miezi mingapi? Dunia ina mwezi mmoja, sasa kwavipi uonekane Uganda hapa usionekane?Kama Mwezi haujaonekana Tanzania then? Hakuna wa kumlaumu; utaratibu uko very clear.
Unatakiwa kumwamini Shekh Ponda pekee hawa wengine ni matawi ya CCM kila kitu ni siasaUganda ni majirani zetu na wametangaza Eid ni kesho; lakini pia Uarabuni napo Eid ni kesho.
Kwanini Tanzania wamepanga iwe Jumamosi?
Kama unalijuwa hilo na mambo ya wala nguruwe uwe unawaachia wenyewe.Mambo ya Waislam nyie mnaumia nini? Tuwacheni tunapiga shopping za Eid za nguvu,👇🏾
View attachment 2594630
Tawi kuu la CCMBAKWATA, BAKWATA, BAKWATA
Tawi kuu la CCMBAKWATA, BAKWATA, BAKWATA
Mashia wanapingwa sana, wana itikadi Fulani hivi.Shia sio waislam?
Tawi kuu la CCMBAKWATA, BAKWATA, BAKWATA
[emoji116]Ulaya wanatumia darubini kuuchungulia mwezi, bongo tunatumia macho ndomana kila siku tunaachwa nyuma.
Exactly... nadhani Tanzania iko slightly far from its path! Astronomers watatusaidia.