Very inspiring hongera sana dada angu.Nitaendelea kumchagua yeye, amenivumilia, anaendelea kunipenda, kuniheshimu, kunitunza for more than 17yrs plus tuko kama tumekutana jana. Mungu atubariki kizazi na kizazi.Sio kwamba hatugombani, hatununiani.
Tunaongea, tunakubaliana tumeamua kufurahia maisha kwani hakuna mengine kama tusipoyatengeneza hayo maisha au ndoa ya furaha sisi wenyewe. Naomba Mungu iwe kwetu na kizazi na kizazi. Tuliamua maisha ni sisi, furaha yetu iko ndani yetu.
Kwakweli hata mimi huwa nasoma comment nikiwa na matarajio ntapokutana na ID yako, lazima nikute umegombeza mtu hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ooh my Jesus'hivi mimi ni mkali hvo jamani, mimi ni muelewa sana bana
Acha basi sis! Hivi mbona mnakuwa na roho mbaya wanawake?[emoji23][emoji23]
Hata wewe???
It doesn't get more as real as this. Hongereni sana. Huwa unaonekana kama vile uko tough sana humu lakini from my experience, nyie wa hivi ndo mko waifu matirio kichizi. Hongera zake hubby [emoji122][emoji122][emoji122]Nitamchagua tena na tena mme wangu kipenzi, sijui nisingekua nae ingekuwaje... Mungu amuweke sana baba watoto wangu.
Kanunue tu petrol[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hali ni mbaya sana. Mpaka hata watumishi wanainkareji watu wakanunue petroli. Tumekwisha [emoji15][emoji15][emoji15]Hata wewe???
Hata Watumishi tuna mioyo, msitutie majaribuni tasavali[emoji126][emoji126][emoji126]Hali ni mbaya sana. Mpaka hata watumishi wanainkareji watu wakanunue petroli. Tumekwisha [emoji15][emoji15][emoji15]
Watumishi mtusaidie kuhubiri upendo na siyo kuinkareji watu kununua petroliHata Watumishi tuna mioyo, msitutie majaribuni tasavali[emoji126][emoji126][emoji126]
Umefuta nini Eve? Kama ni kizuri kirudishe. Kama ni kibaya basi kibakie huko huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nitamchagua tena na tena mme wangu kipenzi, sijui nisingekua nae ingekuwaje... Mungu amuweke sana baba watoto wangu.
ππππ Ulivosema naonekana though i replied ni kama nazi yani nje ngumu ndani lainiUmefuta nini Eve? Kama ni kizuri kirudishe. Kama ni kibaya basi kibakie huko huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1879856
Asante. Nilifikiri umenikoromea kwa sababu hutabirikagi yaani. Asante...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulivosema naonekana though i replied ni kama nazi yani nje ngumu ndani laini
Siwezi kumkoromea mwanaume, sina ubavu huo....πAsante. Nilifikiri umenikoromea kwa sababu hutabirikagi yaani. Asante...
Na kwa kawaida ndivyo ilivyo. The toughest ladies are some of the most lovable and genuine. Blessings [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Eve bana!Siwezi kumkoromea mwanaume, sina ubavu huo....[emoji16]
Watumishi mtusaidie kuhubiri upendo na siyo kuinkareji watu kununua petroli
View attachment 1879850
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mindsets zenu tu vile mimi husemi kitu the way kilivo sivungi unafiki wa kuzunguka zungukaKwakweli hata mimi huwa nasoma comment nikiwa na matarajio ntapokutana na ID yako,lazima nikute umegombeza mtu hahaha
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
ππNdoa ni nzur na lengo la ndoa ni zur...mm nlkuwa na mpango wa kuoa mwaka huu, nkaandaa mpka mahali yakutoa, but after thinking out the box nilitupilia mbali swala hilo maana mwanamke mwenyew alikuwa ni mpuuzi na ndvyo walivyo hata hao wake zenu...najivunia kutopoteza muda wangu kuingia ktk kifungo cha mateso na mawazo maana muda huu nna amani yakutosha, polen mliokurupuka, moto unawawakia kwa hakika mtakipata mlchokitafuta......ingia ktk ndoa ukiwa maturity and mental prepared.....or otherwise mtajuta...##staki ndoa
Hakika.Msipofuatisha na kuliishi hili neno, petroli itawahusu tu[emoji126][emoji126][emoji126]View attachment 1880024
We tulia ukue kwanza na upunguze makasiriko.Ndoa ni nzur na lengo la ndoa ni zur...mm nlkuwa na mpango wa kuoa mwaka huu, nkaandaa mpka mahali yakutoa, but after thinking out the box nilitupilia mbali swala hilo maana mwanamke mwenyew alikuwa ni mpuuzi na ndvyo walivyo hata hao wake zenu...najivunia kutopoteza muda wangu kuingia ktk kifungo cha mateso na mawazo maana muda huu nna amani yakutosha, polen mliokurupuka, moto unawawakia kwa hakika mtakipata mlchokitafuta......ingia ktk ndoa ukiwa maturity and mental prepared.....or otherwise mtajuta...##staki ndoa