Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kila jeshi hufanya maonyesho ila mara nyingi huonesha baadhi tu ya silaha.

Vingi wanaficha tu especially special forces
 
Marekani wana ndege za B52 bomber,zilitengenezwa mwaka 1972 zina perform vizuri sana Afghanistan
Silaha sio kama gari unasoma mwaka na kilometa,silaha ni mahitaji dada
 
Ingekuwa ubora na wingi wa silaha ndio tegemeo la kushinda vita!; Marekani angeshinda vietnam!
 

Silaha yetu sisi ipo moyoni unaweza ukawa na vifaa vikubwa na bora lakn kama huna askari watiifu na ambao wana uchungu na nchi yao kamwe huwezi kushinda vita vita ni kutoka moyoni askari bora ni yule anayeishi na imani ya nchi yake moyoni hata kama mapungufu yapo ila imani na moyo vifaa ni vitendea kazi ishi ukiwa na imani ukifa hujawahi kuskia mlio wa risasi mshukuru Mungu umeiacha tanzania ikiwa salama pia iombee iendelee kuwa salama ambaye alishawahi kupatwa na madhila ya vita anajua kila la kheri nchi yangu ntakulinda mpaka kufa, Tanzania ningali mtoto mdgo nimepewa jukumu la kukulinda wewe naapa naahidi mbele ya Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Ingekuwa ubora na wingi wa silaha ndio tegemeo la kushinda vita!; Marekani angeshinda vietnam!
Marekani kasafiri kupeleka kiherehere Vietnam na akakutana na silaha za Mrusi. Hakuwa anajitetea hivo hakulazimika kutumia hata 10% ya uwezo wake kijeshi
 
Kwa mfano ulitegemea uone nini unacho kijua wewe !?
 
Kwa taifa hili hapana we, tunajilinda ss wenyewe,,
 
Kati ya vitu vya kipuuzi vinavyo fanyika kwenye hizi sherehe ni haya maonyesho ya maaskari. Its wastage of time na kuonyesha madhaifu ya nchi. Kuna jipya gani watu kushuka kwenye helkopta na kamba? Au kuonyesha masilaha outdated?
Kama rais anataka kuona silaha si aende kwenye makambi? Hii tabia aliikuza mwenda kuzimu sijui kwa faida ya nani?
Ina julikana askari wa Tanzania wanacho jua ni kubambikia watu kesi na kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
 
Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
Muulize Tramp kwa nini alimaindi kuwa sisi watz tunashirikiana na Kim wa North Korea kwa masilaha?.[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Onesha busara hata kama hukubaliani na kitu, unaongea as if kama una uwerewa na silaha kumbe ni hopeless. Military show off iko duniani kote sio Tanzania, kuhusu siraha outdated ni matangopori mnalishana hakuna mtu amkuja na pepa humu kuonesha kuwa tunameonesha siraha autdated. Maafisa sio wajinga harafu kuwa na akili basi kwenye uwanja wa medani hatugemei siraha tu bali morale, uhodari na ushapavu kwenye uwanja wa medani, rejea vita ya Kagera au vita ya Vietnam. Vijana mnatia kinyaa kujifanya kila kitu mnajua wakati hamjui siraha huwa zinaboreshwa na zingine zinazalishwa mpya. Kwa mfano rada nyingi kitambo zilizokuwa hazina uwezo ya kunasa wave za ndege zinazopita chinichini sasa hivi mifumo imebadilika. Sio lazima kila kitu uchangie mengine yaache yapite. Tujivunie nchi yetu kwenye makosa na mapungufu tuungane tuyasahihishe, kuikejeri nchi yako ni ujinga tu au elitism ya kishenzi tu
 
M23 wanaujua moto wa hizi vitu.
Kaka achana na wanaobeza wengi hawajui kitu kuwa jwtz kwenye uwanja wa medani ni hatari, wanashambulia kama mbogo, harafu kwenye kupiga mizinga tuko vizuri, hadi mwakiborwa aliwahi pewa medani ya mpiga mizinga bora
 
Kaka achana na wanaobeza wengi hawajui kitu kuwa jwtz kwenye uwanja wa medani ni hatari, wanashambulia kama mbogo, harafu kwenye kupiga mizinga tuko vizuri, hadi mwakiborwa aliwahi pewa medani ya mpiga mizinga bora
Mzee unadhani hatuoni display za nchi zingine!? Kama kitu cha ovyo tusiseme.
Silaha zilizooneshwa ni poor and outdated.
Jeshi linatakiwa kuwa modern. Waache kushupaza shingo na uswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…