Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kama zile mig ndege za kizamani sana halafu wanafanya acrobatics ni hatari
 
uko sahihi ngoma coy ni ni wengi Sana majeshini..NI kutikisa matako tu
 
Dini gani bhana kwanza iran shia mimi sio mfusi wa madhebu yoyote hapa tunasema ukweli
 
Tunaangalia majirani zetu. Wakenya na Uganda wanaonesha silaha nzito nzito.
Sasa si ukatununulie hiizo nzito nzito sisi tutakushukuru sana sana na tutazitumia hata kesho yake tu maana lazima tumchokoze mtu tutest mitambo
 
Tungekua tunatumia silaha zilizokatazwa au ku expires hapo ningekuelewa. AK 47 mpaka leo inatumiwa na nchi kibao tuu unajua imetengezwa mwaka gani?
 
Na kwataarifa yako uimara wa jeshi aina ya silaha inachangia kiasi kidogo sana kushinda vita kikubwa jeshini ni intelijensia sasa kama ulikua hujui.
 
Fikra potofu...Kuwaza masilaha huku wananchi ni masikini ni upumbavu,,Finland na nchi nyingine za Scandinavia hawana hata tankers 100 lkni wananchi wanaishi vizuri ..
 
Hako kadude kadogo vile kenye bendera nyekundu mbili ni ka nini, ka APC au IFV? Sasa kana Impact gabi mbona hata hakaonekani kuwa na armour.
Mkuu, itakuwa ni vile vifaru vya urban warfare, si unajua mijini majengo mengi, kwa size yake kanaweza kukatisha kwenye chochoro za mijini bila shida.

Out of topic; T14 Armata, moja ya vifaru bora kabisa kuwahi kutengenezwa.
 
Na bado wanasumbuliwa na waasi wa ADF
Kuwa na silaha ya kisasa siyo ticket ya kushinda battle. Katika jeshi intelijensia ina 70% ya ushindi kwahiyo hilo la uganda hata usishangae.
 
Kuna amani ni kwa sababu ya ukondoo wa watanzania. Na pia rushwa katika jeshi. Kimsingi jeshi limetekwa na CCM na watawala na kuwasaliti wananchi.
Watanzania aman tuliyonayo ni mambo makuu mawili

1. Mungu ametupa neema
2. Sisi ni waoga

Hakuna kingine zaidi ya hiko.

Umeona mbali kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani dada unavyozungumzaaaa, labda nikuulize swali. What if unaozungumza nao ni moja ya watu ambao wapo ndani ya huo mfumo ambao mnautetea hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…