Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
BM-21 Grad bado inatumka dunia nzima kwa majeshi ya ardhini...fuatiliaNimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Ila niliona kuruka pale kwenye hel mbona ilichukua muda sana na pia kuondoka uwanjani.... nilitamani 5sec wote wamesharuka....